Mbona rahisi tu. Ila sharti lazma uwe na unajua mambo mengi katika aspects mbalimbaliNgoja namie nidandie ukomedi hatakama siuwezi kitaeleweka mbele kwambele tu
'Amazing yake' umemaanisha nini?tatizo wabongo mlimshobokea sana na amaizing yake
Yani mi hata nikishamuona najua atakachoongea, comedy za siku hizi zinahtaji kutuliza akili ili uje na something to the audienceNilidhani ni mimi peke yangu. Jamaa vichekesho vyake havinichekeshagi
Hahaaaa hata mi nashangaa kiukwelihivi harusi yako mtu mzima unamuwekaje mc pilipili ?
Tena vile vya Tv1 utumbo mtupu..Nilidhani ni mimi peke yangu. Jamaa vichekesho vyake havinichekeshagi
Aisee kuna kitu unamiss kuna show inaitwa 'Churchill show' stand up comedians wa Kenya wanakua wanatoa burudani, hapo ndiyo nikajua Eric anakua analazimisha mtu ucheke fani haiwezi. Icheki hiyo ishu hata Youtube mkuu.
Sijajua watu wanampendea nini ila mimi binafsi sijapata kumuelewa.hivi harusi yako mtu mzima unamuwekaje mc pilipili ?
ulizia wanaomjua'Amazing yake' umemaanisha nini?
bado anaimba babu seya kilugha?Sijajua watu wanampendea nini ila mimi binafsi sijapata kumuelewa.
Hayo mapungufu ulioyaona ndiyo watu wanayomkosoa. Dogo ajitahidi kuwa mbunifu la sivyo atajikuta anacheka mwenyewe huku watu wakidai kiingilio chao!Duh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya
Ni kweli Eric ni mbunifu anadedicate nguvu katika kuelaborate anachotaka. Katika kuchekesha hua inafika muda wa kutoa punch ambayo ndiyo imeshikilia hiyo joke nzima.Erick katokea Chulchil akaamua kutoka SOLO na kama Hujui Eric ndo alikuwa second best baada ya Chulchil mwenyewe
Youtube kuna video kibao za Omondi enzi bado yuko na Chulchik LIVE kabla ya kuamua kuanza kivyake
ERIC anajua.....mfuatilie kwenye channel yake standby commedy zake ziko creative sana
Eti eeh... Ngoja basi nianzeMbona rahisi tu. Ila sharti lazma uwe na unajua mambo mengi katika aspects mbalimbali
Nilishaacha kumfuatilia kabisa.bado anaimba babu seya kilugha?
Ni kweli Eric ni mbunifu anadedicate nguvu katika kuelaborate anachotaka. Katika kuchekesha hua inafika muda wa kutoa punch ambayo ndiyo imeshikilia hiyo joke nzima.
Mfano mchekeshaji akiwa anawaaga audience aweza sema 'Plz don't forget my name is Juma and if you want to follow me this is how I look from the back' ( huku yeye mwenyewe akigeuka, kwa kawaida kufika hapa watu inabidi wacheke.
Eric watu wasipocheka atang'ang'aniza emphasis katika hii punch, yani ni kama anashangaa kua "hawa vipi mbona hawaoni punch hii hapa?" So analazimisha muione.
Hahahahaha kiongozi naona jamaa kauteka moyo...
kuna hii standby commedy huyu jamaa ni KICHAA
Hahahahaha kiongozi naona jamaa kauteka moyo...
Eti atajikuta anacheka mwenyewe na watu wanadai kiingilio [emoji23][emoji23][emoji23]Hayo mapungufu ulioyaona ndiyo watu wanayomkosoa. Dogo ajitahidi kuwa mbunifu la sivyo atajikuta anacheka mwenyewe huku watu wakidai kiingilio chao!