Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

kweli kabisa aysee,hapo kwenye kufananisha ualimu na u MC kweli anakosea,uchekeshaji wenyewe hauwezi.pumba tupu
Bora angeendelea na ualimu tu asee. Kwa kukosa ububnifu nadhani hata bei zake za u-MC ni nafuu sana ndo maana bado wanamchukua kwenye sherehe zao.
 
JAMAA HAJUI KUJIPANGA...WALE WAKENYA VICHEKESHO VYAO VINAENDANA NA HALI HALISI INAYOENDELEA NCHINI KWAO NA UKISIKILIZA KWA MAKINI UTAGUNDUA JAMAA WANATUMIA AKILI NYINGI SANA...NA NILISHAMFUATILIA YULE BOSS WAO CHURCHILL ANASEMA WANA JOPO LA WAANDAAJI AMBAO WANAADVICE KILA SHOW, NA IKUMBUKWE KWA WEEK WANAFANYA SHOW MOJA SOMETIMES KWA MWEZI SHOW MOJA...ALAFU WAPO WACHEKESHAJI WENGI SO KILA MMOJA AKIPEWA SLOT NDOGO YA MUDA ANAKUJA NA KITU TIGHT NDANI YA DK 5 ANASEPA, SASA HUYU JAMAA KILA SHOW NI VILE VILE MAMBO YA DODOMA SIJUI UPUUZI GANI, ANATAKIWA ATULIE AJIPE MUDA KUPIGA SHOW...SASA WEWE KILA SIKU UNAONGEA MARA YUPO TV1 MARA TIMES FM MARA CLOUDS FM MARA HARUSI MARA AENDE MKOANI HUO MUDA WA KUTULIA NA KUTUNGA VICHEKESHO VIPYA ANATOA WAPI...??? HATA MATUKIO YANAYOENDELEA HAWEZI TUNGA....MWISHOWE ANAPIGA TU MAKELELE....MARA MIA UPATE 10M KWA SHOW MOJA KWA MWEZI KULIKO KUPATA 1M KILA JMOSI...HUWEZI JENGA JINA NAMNA HIYO, CHAGUA MOJA WEWE NI MCHEKESHAJI AMA MTANGAZAJI AMA MC...???
 
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.

Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.

Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri.

Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Yani Bora Maufundi nikiangalia Vichekesho Vyake Cheka Na Mimi Unapata Cha Kukufanya Ucheke
 
Nashangaa sana watu eti Pili Pili nae ni comedian? anachekesha nini?
 
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.

Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.

Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri.

Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Kwa apa Tanzania ni wasanii gani wazur kwa stand up commedy? Na uwa zinafanyika ukumbi gani nataka niwe naenda.
 
Kwa apa Tanzania ni wasanii gani wazur kwa stand up commedy? Na uwa zinafanyika ukumbi gani nataka niwe naenda.
Ilikuwa kijitonyama nowdays siwaoni kabisa labda kwenye special event ndo huwa wanaalikwa kufanya show.
 
Analazimisha mambo hajui nilimuona kwenye narudi ya mdogo wangu mlimani City nilimzarau hajui kitu kabisa
 
Back
Top Bottom