Bora angeendelea na ualimu tu asee. Kwa kukosa ububnifu nadhani hata bei zake za u-MC ni nafuu sana ndo maana bado wanamchukua kwenye sherehe zao.kweli kabisa aysee,hapo kwenye kufananisha ualimu na u MC kweli anakosea,uchekeshaji wenyewe hauwezi.pumba tupu
Kiingereza nacho kinatufanya tusitoboe kimataifa. Ubunifu pia ziro kila komedi lazima ajipake rangi usoni na kuvaa sidiria ndo anajiona yeye baab kubwa.Hivi hii industry bongo imetushinda?
Yani Bora Maufundi nikiangalia Vichekesho Vyake Cheka Na Mimi Unapata Cha Kukufanya UchekeNimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.
Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri.
Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Kwa apa Tanzania ni wasanii gani wazur kwa stand up commedy? Na uwa zinafanyika ukumbi gani nataka niwe naenda.Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.
Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri.
Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
umaarufu wake unatokana na kuvaa sidiria na sketi akiigizaHiv umaarufu wake unatokana na nini.??????
Nadhani bado hakuna aliye serious...japo wapo wanaoweza. Ngoja mi nitest zariKwa apa Tanzania ni wasanii gani wazur kwa stand up commedy? Na uwa zinafanyika ukumbi gani nataka niwe naenda.
Ilikuwa kijitonyama nowdays siwaoni kabisa labda kwenye special event ndo huwa wanaalikwa kufanya show.Kwa apa Tanzania ni wasanii gani wazur kwa stand up commedy? Na uwa zinafanyika ukumbi gani nataka niwe naenda.
audienceNadhani bado hakuna aliye serious...japo wapo wanaoweza. Ngoja mi nitest zari
Ntaweza mkuu...changamoto ni kutengeneza visa vya kuchekesha vyenye punchline kalihahaha mkuu utaweza kucheza na
audience
mbona vipo vingi tu. mfano mzuri wa harmorapaNtaweza mkuu...changamoto ni kutengeneza visa vya kuchekesha vyenye punchline kali