MC Pilipili ulimfanya nini Miss Shinyanga 2014 Nicole Franklin?

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Nimejaribu kumsikiliza huyu dada Nicole Franklin Miss Shinyanga 2014 kuhusu mahusiano yake na MC Pilipili au Emmanuely yalivyovunjika lakini hayaeleweki maana inaonekana huyu dada alimpenda sana MC Pilipili na alikuwa na uhakika naye kimaisha lakini MC Pilipili alipotea na kumkatisha tamaa kabisa huyu dada.

Kweli mapenzi huwafanya wanadamu kubadilika kabisa na kubadili hata mitazamo yao kimaisha.

 
Jamani binti wa watu....
Halafu na wewe pilipili hakuna kitu kizuri kama kupendwa na mwanamke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…