MC Pilipili ulimfanya nini Miss Shinyanga 2014 Nicole Franklin?

Naomba file la mahusiano ya uyu jamaa, naonaga watoto tu sijawah kusikia kuhusu mke wala kadem kake
Ana mke wa ndoa mzuri sana tu. Huwa anampost post siku akichambwa kuhusu michepuko yakr
 
Huyu Dada huwa ni mzuri sana sema ndo hivyo alifanya wrong choices
Alivokua anasoma advance edmundrice Arusha, hakua ata kwenye ishirini bora ya mabinti wakali shuleni, aliitwa PoPo mbili za vuka mto kwa masikio yake maPana, alitoka na maasai anaitwa Paulo ila nae alimmwaga, nadhan kuna shida down there
 
Simuonei wivu sijui kwanini simuoni Nic kama ni mzuri, labda hizo make up live ni wa kawaida saaana!!!
 
Alivokua anasoma advance edmundrice Arusha, hakua ata kwenye ishirini bora ya mabinti wakali shuleni, aliitwa PoPo mbili za vuka mto kwa masikio yake maPana, alitoka na maasai anaitwa Paulo ila nae alimmwaga, nadhan kuna shida down there
Labda alikua mchafu mchafu. Ila mzuri bwana hata yule Irene haingii kwa Nicole
 
Sio yeye. Yule ni queenlyney aliechukuliwa baada ya kuachwa Miss Shinyanga. Halafu kuhonga range mchezo? Wanatumia tumia tu maana na mimi naamini lile range mh halimiliki kwa asilimia zote. Kama hajalikopa basi kalipiq hajamaliza
Mange kwenye range kapewa file la uongo[emoji23][emoji23][emoji23] Range ni ya Kingu anasema kahongwa Irene
 
Dododododooo. Si nimesikia anataka kuoa tena huyo baba tena shombeshombe anaoa?
Weeeeeeeee alafu yule mkewe kama zobaaa eeeehee hanaga instaa au??basi siku hiyo kuna bar huku mbezi ambapo ndo bend yao huwa inapiga nikamkuta huyo daktare mkali na mdogo wake gije na yule mwingine kilaa mtu kashikiliaa demu wake yaaan hawaogop wanajiachiaa nikole anajikutaa yy ndo yy yaaan nilijisikiaa vibayaa sanaaa
 
Labda alikua mchafu mchafu. Ila mzuri bwana hata yule Irene haingii kwa Nicole
Alikua binti msafi, wakishua kidogo, mwenye viguu vyembamba, maskio maPana sana na domo Pia, alkua akitafta umaarufu kwa kuimba imba sema wana hawakua interested nae kabisa, hua nashangaa sana kuona taifa likimtambua kwenye magazeti ya udaku
 
Mange kwenye range kapewa file la uongo[emoji23][emoji23][emoji23] Range ni ya Kingu anasema kahongwa Irene
Kanunua Kingu kampa Irene. Ye si anatembelea mgari matata wa kibunge lile kampa beb atumie tumie. Unajua watu wengi wanaamini kamnunulia Irene ila tunaojua tunajua hawezi nunua ile range halafu akampe mwanamke
 
Nndio pale kapewa file la uongo ile range ni ya kingu semaa ney huwa naye anitumiaaaa jaman ila mke wa kingu ni falaaaa yaaan tahirs wa mwisho ,watu kibao washamwambiaa lakin mwenzenu anajuaa yule msichana ni rafiki wa kawaida wa mume alafu bad enough huyu jambaz wa kike huwa anampost mke mkubwa na kumuwish kujifanyaa mama ake mlezi ,haki sisi wanawake wa mjini tutachomwa balaaaa ,mpka zawad anamnunuliaa mke wa kingu
 
Yes nishawahi kumuona nayo Kingu ile gari, ndiyo maana nilishangaa kuona jana Mange anasema kamnunulia Irene.
 
Alikua binti msafi, wakishua kidogo, mwenye viguu vyembamba, maskio maPana sana na domo Pia, alkua akitafta umaarufu kwa kuimba imba sema wana hawakua interested nae kabisa, hua nashangaa sana kuona taifa likimtambua kwenye magazeti ya udaku
Hamna taifa linalomtambuaa ni emelda wa global unampa tu elaa anakuandikaaa,we huonagai wakina kidoa salum wanavyoandikwa lakini waaaapi
 
Yes nishawahi kumuona nayo Kingu ile gari, ndiyo maana nilishangaa kuona jana Mange anasema kamnunulia Irene.
Alafu kingu mwenyewe jamani unajuaa simuelewagi yaan huwa hanishawishi bora hata yule mabula wa mwanza naweza kucatch grenade for him ndo type zangu zile na marehemu philip njombe hata heche piaa lol
 
Nndio pale kapewa file la uongo ile range ni ya kingu semaa ney huwa naye anitumiaaaa jaman ila mke wa kingu ni falaaaa yaaan tahirs wa mwisho ,watu kibao washamwambiaa lakin mwenzenu anajuaa yule msichana ni rafiki wa kawaida wa mume alafu bad enough huyu jambaz wa kike huwa anampost mke mkubwa na kumuwish kujifanyaa mama ake mlezi ,haki sisi wanawake wa mjini tutachomwa balaaaa ,mpka zawad anamnunuliaa mke wa kingu
Sasa jamani mke si kaambiwa yule dadake Kingu? Unataka amkatae aambiwe hapendi ndugu wa mume? [emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Siku hizi mpaka shughuli za familia Kijgu anaenda na yul3 dada na alivyo mshenzi anamuweka na mke wake halafu anawapiga picha. Atachomwa vibaya na kupenda kwake kulitumia jina la Mungu kwenye ushenzi wake
 
Kingu anamdharau mkewe sijui kwanini na ni muongo sana, alishakua ni shemela sehemu flan akawa anadanganya mkewe yupo nje so bidada awe huru kuja kustuka tukashangaa mbona mkewe yupo tu tz.
 
Yaaaan alafu irene ndo anawavalisha familiaa nzimaa khaaaa mwanamke zumbukuku yule unashindwa hata kuhisi
 
Kingu anamdharau mkewe sijui kwanini na ni muongo sana, alishakua ni shemela sehemu flan akawa anadanganya mkewe yupo nje so bidada awe huru kuja kustuka tukashangaa mbona mkewe yupo tu tz.
Yaaaan watu kama hao unawalaaaaaa elaaaaa weee mpka ukishatosheka ndo unakuja kumpa kimoja anasepaaaa
 
Alivokua anasoma advance edmundrice Arusha, hakua ata kwenye ishirini bora ya mabinti wakali shuleni, aliitwa PoPo mbili za vuka mto kwa masikio yake maPana, alitoka na maasai anaitwa Paulo ila nae alimmwaga, nadhan kuna shida down there
Yaani kama huko shuleni huyo ndo mbaya wao, hao visu si watakuwa malaika sasa au vipi mkuu
 
Back
Top Bottom