Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sio yeye. Yule ni queenlyney aliechukuliwa baada ya kuachwa Miss Shinyanga. Halafu kuhonga range mchezo? Wanatumia tumia tu maana na mimi naamini lile range mh halimiliki kwa asilimia zote. Kama hajalikopa basi kalipiq hajamalizaHuyu ndio aliyehongwa Range anaye trend kwa dada wa Taifa?