MC Pilipili ulimfanya nini Miss Shinyanga 2014 Nicole Franklin?

daah hizi chance wanapewaga wasiojua kuzitumia
 
daah hizi chance wanapewaga wasiojua kuzitumia ## **** yo mcplpl
Unawajuwa wanawake wewe? Kwanza huyo ni wakawaida tu, km kazingua anakaa pembeni kuna wanawake wanataka ufanye wanachotaka wao au familia zao, huo ni utumwa. Ndo maana ukaambiwa uzur wa mke tabia, wahenga wanajua mengi. Wewe unamuangalia huyo dada kwa mtazamo wa kingono tu, muweke ndani mwanamke ndo unatajua km moto ni wa kuni au gesi.
 
Me nmemsikiliza, kwanza hakuna Gospel hapo japo mimi sio Mungu ila hana moyo wa kusamehe, pia anaonekana ni Much know sio mwanamke anayeweza kunyenyekea, wanaume wanapenda mwanamke mnyenyekevu. Infact anajiona yupo juu so hawez yumbishwa na mwanaume, belivee me kwa saikolojia ya wanaume alio waumba Mungu huyu huyu ninaemwamini mimi, ataachana na wanaume 7x70. Tupeane Muda tu. Km kaokoka basi asome sana maandiko yatamsaidia aishi km mwanamke wa kikristo, akijiona yeye ni miss nini sijui, wanaume kwao hayo ni minor issues.
 
Mkitaka Kumjua huyu Binti niulizeni Mimi. Hakuna Gospel hapo, hakuna cha Biashara hapo, wala Kilimo. Upuuzi mtupu. Yaani ni full drama. Hakuna Mwanaume anayeweza kudumu na huyu Binti. Ataishia kuvuliwa tu. Na show off za Kijinga.
 
Duu kweli hela ni kitu ingine sasa pilipili nae wa kumringia huyu mrembo?
 
Waandishi wa habari wa kibongo uwezo wao wa kuuliza ni mdogo mno yani mtu anarudia swali hilo hilo japo keshajibiwa mara mia.
Ndio maana veterani Mkapa aliwahi kusema wakapige book maana wengi ni weupe vichwani mwao.
 
Huyu dada mzuri jaman..mc pilipili aliokota dodo chini ya mpapai..ila ndio basi tena
 
Mkitaka Kumjua huyu Binti niulizeni Mimi. Hakuna Gospel hapo, hakuna cha Biashara hapo, wala Kilimo. Upuuzi mtupu. Yaani ni full drama. Hakuna Mwanaume anayeweza kudumu na huyu Binti. Ataishia kuvuliwa tu. Na show off za Kijinga.
Me nimemsoma tu kwa wanaojua saikolojia, eti kilimo kimempa mtaji wa biashara zake. kudate na wanawake wa aina hiyo ni shida
 
Back
Top Bottom