Afro Super Bags
Member
- Apr 5, 2023
- 49
- 110
Mapungufu ndio haya;
- Kwanza hajatambulisha vyoo vilipo.
- Hadi sasa saa sita kasoro dakika 13 hatujala.
- Muziki mbovu balaa, baadhi ya spika hazipigi, hamna sound balancing, sauti yako hatuisikii kabisa.
- Viwango vyako vya muziki umevipima? Je, vinakidhi matakwa ya NEMC?
- Kwanini ulazimisha kuchekesha mbele ya hadhira ambayo haicheki? Comedy na ushereheshaji ni vitu viwili tofauti. Umefeli kote, kwenye kuwa MC na kwenye comedy.