JamiiForums huu uzi sio wa kuharibu biashara ya mtu, ila ni angalizo la kirafiki ili aboreshe huduma zake.
Msiufute huu uzi hadi mjiridhishe kwamba mmemfikishia ujumbe wake eidha kwa simu ama lah.
- Mapungufu ndio haya, kwanza hajatambulisha vyoo vilipo.
- Hafi sasa saa sita kasoro dakika 13 hatujala.
- Muziki mbovu balaa, baadhi ya spika hazipigi, hamna sound balancing, sauti yako hatuisikii kabisa.
- Viwango vyako vya muziki umevipima? Je vinakidhi matakwa ya NEMC?
- KWANINI UNALAZIMISHA KUCHEKESHA MBELE YA HADHIRA AMBAYO HAICHEKI? Comedy na ushereheshaji ni vitu viwili tofauti. Umefeli kote, kwenye mciing na kwenye comedy.
NB:- uzi huu si wa kuharibu biashara ya mtu.
JamiiForums, mpeni ujumbe wake kisha uzi ufutwe. Hapa hamna conflict of interest