MC Pilipili umechemsha sana harusi ya Julius B. Liwenga leo

Kwako umetoka kauzu banda?
 
Unafuta Uzi wa nini?
Acha ubaki daima.
 
Kweli njaa mbaya umeanzisha Hadi uzi
 
Henda kuna kundi limenufaika naye
 
KWANINI UNALAZIMISHA KUCHEKESHA MBELE YA HADHIRA AMBAYO HAICHEKI? Comedy na ushereheshaji ni vitu viwili tofauti. Umefeli kote, kwenye mciing na kwenye comedy.
Bro punguza basi punguza Jazba usije ukatuletea msiba mwingine hawakawii kwenda kutafuta majengo marefu na kwenda kujirusha kwa cyber bullying km hizi punguza munkari kwanini hukumuita Chemba hapo hapo squad ukamtis za chembe kidevu kua amekuzingua wewe unaogopa kiasi Cha kuja kuandika huku nna mashaka na jinsia yako, we ni me au ke ?!
 

Mc pilipili ajikite zaidi kwenye Umc kama kuchekesha basi aombe materials kwa wachekeshaji wengine na atumie ,kipaji cha uchekeshaji hana, utunzi umefikia mwisho.
 
Njaa mbaya sana, ndio maana bandari zimeuzwa🤣🤣🤣🤣

Laana zote kisa njaa
 
Suala La Muhimu Mmechelewa Kula Michango Yenu Inawatesa Sana
 
Kwanza mgogo na kuchekesha wapi na wapi, mgogo lake zeze na malimba Kama kina zawose wa bagamoyo, kachezea kazi yake ya ualimu kiboya tu, mwenzie galab super brand kazi yake hakuacha anapiga kotekote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…