MC Pilipili unaboa TV 1 kwa kukopi vichekesho toka Kenya

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
462
Reaction score
350
Napenda kuwashauri uongozi wa TV1 kuhusu kipindi kimoja anachowekaa vichekesho huyu mtangazaji wenu Mc Pilipili(the clip).

Mshaurini huyu kijana aandae vichekesho vyake mwenyewe ili kukiongezea thamani na wapenzi kipindi chenu.

Sasa hivi kipindi hicho kinaboa sana baada ya watu kugundua kuwa anakopi kutoka kwenye TV mojaa ya Kenya halafu ndo anatuletea huku- Mbaya sana. Anajishusha sana kwa sisi ambao ni wapenzi wa vichekesho vyake vya awali vya kwetu Tanzania mbona ni vizuri tu-angalia kina mzee Majuto utaelewa maana.
 
Ana-copy kutoka kipindi cha Naswa cha Kenya..Mbaya zaidi hicho kichekesho kikishaisha na yeye anaanza kukuadithia tena kitu kile kile...Hadi unajiuliza thamani ya muda katika hizi TV imeshuka sana siku hizi ama?
 
Tanzania stand up comedy MPOKI tu wengine hakuna kitu kama huyo piliSQUARE bora angeendeleza uticha tu angepata hata mafao mauzuri PSPF
Mwache abaki huko huko kusiko na stress, uticha ni shida tu, kupanda madaraja hakuna, hayo mafao ya PSPF ukistaafu unafatilia hadi soli ya viatu inaisha.
 
nikiona hicho kipindi naama channel...hata aibu aoni?..koz watu wenye star times wanaona naswa pitia citizen tv.
 
mim binafsi sijawai kuchekeshwa kabisa na hawa watu wawili(pilipili) na huyu idris sultan ndo kabsa sijui nan alimdanganya kuwa anaweza kuchekesha, kha! pilipili anacopy swaga za omondi lakn bado anapuyanga tu.
 
Kwakweli umeniwahi as nilikua naandika uzi kuusu hyo kitu..anaboa sana...
 
Nilisikia na steve nyerere nae anataka kuanzisha! duuuu....
 
Hapa JF Ukitaka kuonekana GT, wewe ponda kila kitu..

Kukopi sio swala zuri kwanza anaweza kushtakiwa kama ni kweli..

Mimi Binafsi naona MC pilipili anajitahidi sana kuchekesha.. kwenye ukweli tuseme
 
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…