MC Pilipili unaboa TV 1 kwa kukopi vichekesho toka Kenya

MC Pilipili unaboa TV 1 kwa kukopi vichekesho toka Kenya

Kina Prof. Hammo,Jemutai,Omondi wapo creative sana.
By the way Mc nae ndo amepata pa kuingizia siku,we sema sana mitandaoni lakn yeye anaingiza siku.kopi wewe kama utatoka
Duh kumbe kaka pili pili. Ndo unatumia Id hii, ntakifatilia kwa karibu mkuu
 
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Mpendwa umenigusaa hiyo Churchill show ni tricky sana
 
Back
Top Bottom