Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.

"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"

Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".

WEWE SI MCHEKESHAJI.

AHSANTENI.
 
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.

"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosena kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,

Bro anakudai nini?
 
Acha upuuzi, tafuta kazi ufanye uingize kipato. Unaamka mapema Asubuhi unaanza siku kwa majungu.

Kweli safari ya maendeleo bado ni ndefu.
Najua kuutenga mda wangu, na sijawahi fanywa mtumwa na kazi zangu hata siku moja.
Ni mapumziko murua kabisa week hii , sijui kwako kama bado unatumika.
 
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.

"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosena kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"

Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".

WEWE SI MCHEKESHAJI.

AHSANTENI.
Well said
Huyu jamaa sio msanii anaforce kabisa yan
 
Najua kuutenga mda wangu, na sijawahi fanywa mtumwa na kazi zangu hata siku moja.
Ni mapumziko murua kabisa week hii , sijui kwako kama bado unatumika.
Daah kutumika tena
 
Mimi namshauri tu Mc chili abadilike abadili vichekesho kurudia rudia same stuff kila mahali inaboa nilimuona kwny harusi akarudia tena yale yale vile vile kwny send off matukio yaliyopishana miezi 6 bro kuwa mbunifu..... usije chemsha km ze comedi
 
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.

"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosena kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"

Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".

WEWE SI MCHEKESHAJI.

AHSANTENI.
Kinachowa cost hawa ma celeb wa kibongo ubunifu ni sifuri ni watu wa kucopy copy sana hawajui ili ukubalike unabidi uwe mbunifu lakini pia ushamba mzigo pilipili ni bonge la mshamba ukiangalia video zake akiwa uko usA mpaka aibu
 
Back
Top Bottom