Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Kinachowa cost hawa ma celeb wa kibongo ubunifu ni sifuri ni watu wa kucopy copy sana hawajui ili ukubalike unabidi uwe mbunifu lakini pia ushamba mzigo pilipili ni bonge la mshamba ukiangalia video zake akiwa uko usA mpaka aibu
Na tatizo ni moja ..Instagram zinawatengeneza Watu wenye Fake Talents " Vipaji Hewa" . Simply tu coz kule kuna Fake Funns , Fake likes , Fake Comments , sasa hii inatuketea shida pale muhusikia anayedhani kaiva anapokuja kukutana na uhalisia wa soko .
 
Kama wewe hakuchekeshi wapo wanaochekeshwa nae na ndio wanaolipa kiingilio kwenda kuchekeshwa.

Acha kuharibu brand za watu kisa wewe hufurahishwi nazo.....watu wanatengeneza majina kwa gharama kubwa halafu mnakuja kuchafua kirahisi rahisi.
 
Brand name haitaji nguvu kutengeneza ,hivyo usitudanganye kwa hilo .. Talent haitafuti followers kwa gharama , followers hutafuta talent kwa gharama.
Umetengeneza Brandy Easy kupitia Instagram,basi elewa tu the brandy pia itaondoka easy .. na hutokua na wa kumlaumu .
 
Mc pili pili ni mshereshaji sasa kule kusheresha kuingiza jokes watu wanafurahi akaona kumbe naweza kuchekesha akadandia gari la uchekeshaji ila kiukweli hamna mchekeshaji pale hata yule dada yake katarina wa karatu hamna kitu pale basi tu clip clip na hizi social media zimewabeba

Bora hata ebitoke ila hao hamna kitu
 
Back
Top Bottom