Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Bro anakudai nini?Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosena kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
Najua kuutenga mda wangu, na sijawahi fanywa mtumwa na kazi zangu hata siku moja.Acha upuuzi, tafuta kazi ufanye uingize kipato. Unaamka mapema Asubuhi unaanza siku kwa majungu.
Kweli safari ya maendeleo bado ni ndefu.
Well saidKuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosena kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
Daah kutumika tenaNajua kuutenga mda wangu, na sijawahi fanywa mtumwa na kazi zangu hata siku moja.
Ni mapumziko murua kabisa week hii , sijui kwako kama bado unatumika.
Kinachowa cost hawa ma celeb wa kibongo ubunifu ni sifuri ni watu wa kucopy copy sana hawajui ili ukubalike unabidi uwe mbunifu lakini pia ushamba mzigo pilipili ni bonge la mshamba ukiangalia video zake akiwa uko usA mpaka aibuKuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.