[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gujarat, India.
Itakuwa fasi ya kunyumba tu.Daah kutumika tena
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Acha upuuzi, tafuta kazi ufanye uingize kipato. Unaamka mapema Asubuhi unaanza siku kwa majungu.
Kweli safari ya maendeleo bado ni ndefu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] unamvua vyeo vyote atabak na nn sasa? Hutaki ale teh tehHata kazi ya kuwa Mc anaforce tu, haiwezi!
Yote kwa yote Tz hamna stand up comedy..