Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Nimemuona Mara kadhaa harusini anarudia mambo yaleyale sanasana kuwaponda watu waliokuja na magari aina ya bits!
 
Mkuu huyo Mc pilipili kakuchukulia demu wako nini mbona unamsakama hivyo. Kama mtu huoni kipaji chake mpuuze fanya mambo yako mkuu. Sio lazima uwe fan wake. Jifunze kupotezea, jipangie kazi nyingine za kufanya
 
Back
Top Bottom