Wajanja tumeshashtuka kitambo kwamba dogo analiwa kichwa hapo.Ilipoanza kutembea ile picha ya engagement utapeli niliuona wazi machoni mwa bint. Ila anyway wacha jamaa aingie mjini practically.
Sent using Jamii Forums mobile app
ikawaje wakaachana?au alikua bahili?jamaa anafanya kaz wap?But katika watu waliodumu na mena ni Heryman
Almost 4years
Kwani pilipili yeye anafa?MC Pilipili , MC Pilipili, MC Pilipili nimekuita mara tatu kuonesha msisitizo ,huyu mwanamke achana naye hakufai asilani habadani.
Kama kuna ndugu zake humu mumfikishie taarifa huyu mwanamke hafai ninamjua A-Z.
View attachment 990158
Sent using Jamii Forums mobile app
ubarikiwe sanaKisichokufaa wewe, mwenzio kinamfaa.
Nawatakia heri na fanaka katika penzi lao!
ikawaje wakaachana?au alikua bahili?jamaa anafanya kaz wap?
ikawaje wakaachana?au alikua bahili?jamaa anafanya kaz wap?
hahahahahhaha uwiiii usanii mwingi jamanEveryone has the past tuache kufanya judgment basing on that, By the way naye alizid Pete tu anafanya mpaka media Tour?