MC pilipili×3

MC pilipili×3

Kwaiyo uyo hansi alikua anamla dem wa mc,inaonekana bado wanakulana hawa
 
Huyo ndo alikuwa nae kabla yamc pilipili
Sahiv wameachana sa cjuiyasilin
 
But katika watu waliodumu na mena ni Heryman
Almost 4years
 
Desturi ya wanaume wa kigogo ni uvumilivu na ushamba wa kimapenzi, pia wanapenda sana wanawake walioshindikana. Unaweza kukuta changu aliyeshindikana kama hawa mademu wa bongo muvi na hakuna mwanamme yeyote anayemtaka hata kama ni wa bure ila akija nduguye Yanga SC (mgogo) anaiingia kichwa kichwa na kutoa mahali milioni 8 huku akilia kwanini kapata demu aliyeshindikana.
 
Ndoa inafungwa hiyo acheni mambo ya kichawi chawi, huyo MC anajua kilicho mnasisha kwa demu😎
 
Back
Top Bottom