MCD wa Twanga Pepeta afariki dunia

MCD wa Twanga Pepeta afariki dunia

sabasita

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
1,501
Reaction score
393
Habari ya kusikitisha kwetu wapenzi wa twanga pepeta, mpiga tumba maarufu wa band yetu mcd amefariki huko moshi kwa maradhi ya kifua kikuu
mungu amlaze mahala pema peponi
 
Mpiga tumba maarufu wa Twanga pepeta Soud Mohamed, almaarufu kama MCD Amefariki dunia usiku huu Moshi baada ya kuugua kwa mda mrefu..R I P
 
Ni huyuu
 

Attachments

  • 1390877001415.jpg
    1390877001415.jpg
    26.8 KB · Views: 1,258
R.i.p tutazimis zile tumba a.k.a ngoma ulizokuwa ukizipiga.
 
MCD pumzika kwa amani,kazi zako ni nzuri sana,tutaendelea kukuenz kwa kufurahia kazi zako,kwangu mimi hakuna mpiga tumba Tanzania hii zaidi ya wewe.RIP
 
DUh! Katika vitu vilivyokuwa vinanifanya nipende muziki wa Twanga ni pamoja na Tumba za MCD!! Rest In Peace Mkubwa kazi.....
 
Daaah mambo ya kuugua muda mrefu haya...pumzika wewe mcd
 
Back
Top Bottom