MCGregor :Niko radhi kufia uwanjani lakini sio kupigwa na Floyd Mayweather

MCGregor :Niko radhi kufia uwanjani lakini sio kupigwa na Floyd Mayweather

MayWeather hapo kajibu kirahisi.. Wee subiria ngumi atapiga mtu atoke haja.. Money sio ordinary fighter he knows boxing sanaaa
 
MayWeather hapo kajibu kirahisi.. Wee subiria ngumi atapiga mtu atoke haja.. Money sio ordinary fighter he knows boxing sanaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Floyd kashindikana.nnachokiona hapo ni floyd kumharibu kisaikolojia huyo mc Gregory.wa kumpiga floyd alikuwa many packao
 
Floyd kashindikana.nnachokiona hapo ni floyd kumharibu kisaikolojia huyo mc Gregory.wa kumpiga floyd alikuwa many packao

Manny hajui ngumi... Wala havutii kabisa upiganaji wake, tena Manny angepigwa vibaya sana na Money, Manny sio mzuri kivileeee... We fighters tunajua Money sio mchezo, anapiga ngumi chuma, kasi, accuracy kali, alafu ana dance huku anakuchekea na anakutoa red tissue fasta.. Money anapiga ngumi atakavyo..
 
Ngumi syo maneno ila ni vitendo

Ova
 
under boxing rules Floyd will send this boy to school [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. jamaaa ni mweupe kwenye boxing hana uwezo hata wa ku land hata ngumi moja kwa Floyd

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
dogo rematch inabidi acheze under mma rules lakini kwa boxing a sahau kabisa kumpiga Floyd ngumi, akamuulize canelo,Augustus ,maidana,arturo gatti na wengine wengi huyu jamaa alicho wafanya japo wamekuwa ndani ya boxing kwa miaka yao yote lakini uso wa Floyd waliutafuta kwa mbinde sana.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Manny hajui ngumi... Wala havutii kabisa upiganaji wake, tena Manny angepigwa vibaya sana na Money, Manny sio mzuri kivileeee... We fighters tunajua Money sio mchezo, anapiga ngumi chuma, kasi, accuracy kali, alafu ana dance huku anakuchekea na anakutoa red tissue fasta.. Money anapiga ngumi atakavyo..

Please bro mfatilie Manny vizur
 
dogo rematch inabidi acheze under mma rules lakini kwa boxing a sahau kabisa kumpiga Floyd ngumi, akamuulize canelo,Augustus ,maidana,arturo gatti na wengine wengi huyu jamaa alicho wafanya japo wamekuwa ndani ya boxing kwa miaka yao yote lakini uso wa Floyd waliutafuta kwa mbinde sana.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hahaha hawauoni uso
 
Huyo floyd nae tamaa tu kapigana pambano la kufunga kustafu sasa anataka nini tena

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Jamani nayatafuta mapambano ya huyu jamaa sijaona hata moja zaidi ya kick boxing tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamasumbwi Conor MCGregor ametamba kwamba lazima amchakaze Mayweather kwa namna yoyote ile ,Conor alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa labda afie uwanjani ndo ushindi pekee atakao upata mayweather lakini kinyume na hapo lazima amtandike Floyd tena hamtandiki kwa Point bali kwa Knockout

Conor amedai kuwa ameangalia mapambano mengi ya Floyd na amegundua udhaifu wake upo sehemu gani hivyo basi yeye na kocha wake wanafanya training za kutosha za kwenye huo udhaifu wa Floyd ili amdondoshe mapema zaidi

Conor kwa kuonesha yupo makini kwa kiasi gani ameamua mpaka kuiba mbinu za Jeff Hornet ili kundhibiti Floyd mayweather na kuandika historia mpya kwenye ndondi .

Kwa upande wa Floyd alipoulizwa kuhusu tambo hizo akasema kuwa Conor uwezo wa kushinda hilo pambani ni mkubwa kwa sababu yeye (Floyd) umri umeshamtupa mkono na kasi pamoja na accuracy yake ya kurusha ngumi imepungua kwa kiasi kikubwa kulinganisha na miaka 10 mpaka 20 iliyopita

View attachment 536965
Mbona hajafia sasa uwanjan

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom