TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani


bado wewe!get ready! Nawaonya hamuelewi tu!
 
Ikulu sio icu-mtikila

hebu FaizaFoxy njoo urudie maneno yako pendwa hapa
hii dunia mapito anakufa mmoko mmoko tu
r.i.p rev


Kifo ni kifo na ugonjwa ni ugonjwa.

Ikulu siyo ICU - Mtikila.

Na Lowassa hatumchagui, ni mgonjwa sana tena mpaka anafanya mavituz (kama chato).
 
Pamoja na cautions zako zote hizo..ila na wewe ukawepa RIP!Umeshathibitisha?
 
Mungu hapendi mzaha kwani yeye ndiye humpa mja wake afya na maradhi kwa hiyo basi kifo chake ni fundisho kwa wengine km akina Mwigulu et el.

pole sana kwa wafiwa, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake linimidiwe.

NB:
Kifo cha mch. mtikila ni ujumbe mzito kwa akina NAPE, MWIGULU, LUSINDE, MAKONGORO NYERERE, BULEMBO, MSUKUMA na wengine mnaojiona mna mandate ya kukadiria uhai wa mtu wakati hiyo ni kazi ya Mungu na ni SIRI yake peke yake. Kumbuka marehemu Celina Kombani pia alikashifu afya ya Lowassa alipohamia CDM. akisema bora amehama angetufia bure acha akifie huko chadema…kama mna akili na utashi ACHENI KUKASHIFU UHAI WA WATU fanyeni kampeni za kukinadi chama chetu
 
Pole yake Mtikila.......naona walikuwa wanagonga kachumbari kwenye gari.
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa

Ukawa mnatisha, kumbe ndiyo maana Dr. Slaa alihama nyumba baada ya vitisho vyenu. Anawajueni, mtie ila yeye alizoea kuwashambulia CCM Waungwana.
 


Ahsante Mkuu Barafu ya Moto,

Ugonjwa ni ugonjwa tu na msiba ni msiba tu. Wanajamvi tutumie busara. Hatufurahii ugonjwa au mauti kwa Mtanzania yeyote, au hata binadamu yeyote. Ila tunasema uongozi wa taifa siyo lelemama. Uongozi mwa mkoa , wilaya , kijiji au shirika, kampuni, idara, taasisi ni mtihani tosha sembuse Uamiri Jeshi Mkuu ! Pili ukisha jitokeza kugombea uongozi wa umma uwe tayari kujadiliwa, lazima uwe na stamina ya kuhimili mihemko na hoja -of course baadhi zenye maudhi matupu. Hiyo ndiyo siasa.

Ugua pole Mzee Lowasaa na Mungu akupe ahueni ! Na Mungu akuweke Mzee Mtikila mahali pema peponi. Wewe kazi yako umeimaliza na Watanganyika watakukumbuka.
 
Vipi Celina Combani? Hata yeye alisema bora Lowasa kahama ili akafie Chadema.. Na kifo chake kichunguzwe pia?

Kweli kabisa;hata sasa hivi anaweza kuunda tume yake ichunguze vifo vya celina na mtikila hakuna wa kumzuia hii ni nchi huru
 
Apumzike kwa amani........liwe fundisho kwa tuliobaki tujifunze kuwaombea wengine mema tutabarikiwa sana!
 
"Mlala hoi na Gabachori"
Tanganyika
........
R.I.P Mch.Mtikila.
 
mmezidi kumdhihaki Mungu,pigo baada ya pigo...ni mwaka wa Mungu kulipa kisasi!

"nec wametuwekea jambazi na marehem kugombea urais"-by NAPE
 
R. I. P CM

NUMEONA video yake ya mwisho Star Tv . Kweli mungu hupanga kabla sisi kuzaliwa. Inadhihirisha mwabadamu si chembe mbele ya mipango ya Mungu. Midomo yetu tunashindwa kuitawala.
 

Kweli sikio la kufa....Kwa hiyo wewe unafikiri uko vizuri kwa sababu ya juhudi zako za kupigania afya yako! Pole sana kuna kweli bado hujaijua!
 
Apumzike kwa Amani....mpaka ifike tar 25 tutashuhudia mengi
 
R.I.P Rev. mtikila...
Even High Court will miss you alot!
 
Ukawa mnatisha, kumbe ndiyo maana Dr. Slaa alihama nyumba baada ya vitisho vyenu. Anawajueni, mtie ila yeye alizoea kuwashambulia CCM Waungwana.

ha ha ha ha! mtakimbia sana vivuli vyenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…