residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Naunga mkono hoja 100%.Baada ya kutokea ajali nyingine another hili iliyomuua Balozi Mushi, nikaikumbuka hii ajali ya Mchungaji Mtikila, baada ya thread hii jf mode wakaweka mabandiko ya Mchungaji Mtikila humu, kusema ukweli imenichukua siku nzima kuyapitia, na katika kuyapitia wazo likanijia, inawezekana kwa Tanzania, jf ndio the biggest and the richest source of reference materials!. How can we store all these materials kwa vizazi vijavyo?.
Wenzetu Waingereza wao wanatunza kila taarifa kwenye Encyclopedia Britannica, mnaonaje kama JF tutaanzisha kitu kinachoutwa "JF Encyclopedia De Tanzania", halafu kila kinachoandikwa humu jf, kinakuwa na back copies za print out?.
Sisi wengine humu ni kama manabii fulani, japo sijui savers za jf ziko wapi lakini something is telling me, on line savers alone is not safe!, kuna siku tutapata cyber attack from UFO na kupoteza all these rich materials!.
Mkuu Maxence Melo , andaa andiko la kuanzisha JF Reference Library, humu tuweke print out ya ile michango yetu muhimu,
Mfano mimi nilijinga jf mwaka 2006, ile tarehe July, 2008, kuna mtu alipandisha bandiko humu jf kuhuhusu na jinsi ninavyoendesha pikipiki, miongoni mwa wachangiaji mle, kuna walio ombea nipate ajali nif...!, baada ya 7 days nilipata ajali mbaya ya pikipiki . Bandiko like lilifungwa likafurwa!, likapandishwa bandiko hili Pascal Mayalla apata ajali..... kwa sasa hakuna namna ya kuona kile kilichoandikwa mule, natamani nimtafute yule nabii wa majanga, usikute anaishi tuu kama mtu wa kawaida na alijisemea tuu jamaa atapata ajali na ajali ikajitokea tuu, kumbe he/she is very powerful, ana powers fulani, if properly channelled huyu ni mtu tajiri sana!.
Tuanzishe JF Reference Library tuweke print out. Nashauri 2026 tufanye maadhimisho ya 20 years of JF in Tanzania, let's compiles baadhi ya mabandiko yenye JF impact kwa taifa letu for the past 20 years!, ni sisi jf ndio tumeumba viongozi wa taifa hili kwa kauli zetu humu and it's very unfortunately pia ni sisi ndio tumewaua kwa kuanza kuwaua humu kisha wakaja kufa kweli.
Siku hiyo ya maadhimisho ya 20 years of JF, ndio tuzindue hiyo print library, italisaidia sana taifa hili!.
Hili mnalionaje?.
P
Sent using Jamii Forums mobile app