Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Kwa kweli ndo nakusikia hapa jf,
nawe wa arusha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATES:
Mkuu Mr Dudumizi , hapa kwenye kifo cha Mchungaji Mtikikila, umenikumbusha kitu!. Kiukweli haya mambo ya ajali za ajabu ajabu hii njia ya Dar Chalinze, na maeneo ya Tanga kwenye 'fundi' wengi, kumbe pia it's possible ajali zote sio ajali tuu, ajali nyingine ni 'ajali'. Kuna siku nilikutana na Mchungaji Mtikila mahali, akazungumzia mtu anayeuwa watu kwa ku fake accident Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100! five years later Mchungaji Mtikila alikuja kufa kwa ajali ambayo ilikuwa ni kama a fake accident!.Unanikumbusha kifo cha mch Mtikila. Mazingira ya kifo chake kilichotokana na ajali yalinifikirisha sana, tena ajali ilitokea katika kipindi ambacho Mtikila alikuwa moto sana.
Ila ndo hivyo watu walizika na maisha yakaendelea.
Mada mbalimbali zinazomhusu Mchungaji Mtikila
Mtikila: Shujaa wa Demokrasia, Mwanamapinduzi halisi na Shujaa wangu...
Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila
Mchungaji Mtikila kufungua kesi mahakamani kudai Tanganyika Huru
Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa mahakamani
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!
Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi!. Watanzania Sasa Tugomee...!
Mtikila: Dr. Slaa na Prof. Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais
Mtikila kumshitaki Lowassa Mahakamani, adai Afya haimruhusu kuwa Rais wa JMT
Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi
Mch. Mtikila kuzuia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 Mahakamani, 2015
Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa
Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa
Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)
Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam
Mchungaji Mtikila: CCM ni Manyani - Epidomea
Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa
Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania
Rev. Mtikila ashida kesi ya kuruhusu mgombea binafsi mahakama ya Africa
Mtikila aibua mapya tume ya katiba
Mtikila amfungulia Mch. Getrude Rwakare kesi 69/2011 high court
Mchungaji Mtikila kwenda Mahakamani kupinga mchakato wa Katiba Mpya!
Mtikila: Slaa alishinda kwa 71%
Mchungaji Mtikila atoa Kali
Mtikila atishia kumshtaki AG
Hukumu ya mgombea binafsi hii hapa (AG vs Mtikila)
Serikali yaamriwa kuanzisha mchakato wa mgombea binafsi, ni baada ya Mtikila kushida kesi
Mtikila atangaza kugombea Urais kama mgombea binafsi
Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki
Mtikila: Nitaenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu Rasimu ya Katiba
Angeruka sana na Chief Hangaya.
Baada ya kutokea ajali nyingine another hili iliyomuua Balozi Mushi, nikaikumbuka hii ajali ya Mchungaji Mtikila, baada ya thread hii jf mode wakaweka mabandiko ya Mchungaji Mtikila humu, kusema ukweli imenichukua siku nzima kuyapitia, na katika kuyapitia wazo likanijia, inawezekana kwa Tanzania, jf ndio the biggest and the richest source of reference materials!. How can we store all these materials kwa vizazi vijavyo?.
Wenzetu Waingereza wao wanatunza kila taarifa kwenye Encyclopedia Britannica, mnaonaje kama JF tutaanzisha kitu kinachoutwa "JF Encyclopedia De Tanzania", halafu kila kinachoandikwa humu jf, kinakuwa na back copies za print out?.
Sisi wengine humu ni kama manabii fulani, japo sijui savers za jf ziko wapi lakini something is telling me, on line savers alone is not safe!, kuna siku tutapata cyber attack from UFO na kupoteza all these rich materials!.
Mkuu Maxence Melo , andaa andiko la kuanzisha JF Reference Library, humu tuweke print out ya ile michango yetu muhimu,
Mfano mimi nilijinga jf mwaka 2006, ile tarehe July, 2008, kuna mtu alipandisha bandiko humu jf kuhuhusu na jinsi ninavyoendesha pikipiki, miongoni mwa wachangiaji mle, kuna walio ombea nipate ajali nif...!, baada ya 7 days nilipata ajali mbaya ya pikipiki . Bandiko like lilifungwa likafurwa!, likapandishwa bandiko hili Pascal Mayalla apata ajali..... kwa sasa hakuna namna ya kuona kile kilichoandikwa mule, natamani nimtafute yule nabii wa majanga, usikute anaishi tuu kama mtu wa kawaida na alijisemea tuu jamaa atapata ajali na ajali ikajitokea tuu, kumbe he/she is very powerful, ana powers fulani, if properly channelled huyu ni mtu tajiri sana!.
Tuanzishe JF Reference Library tuweke print out. Nashauri 2026 tufanye maadhimisho ya 20 years of JF in Tanzania, let's compiles baadhi ya mabandiko yenye JF impact kwa taifa letu for the past 20 years!, ni sisi jf ndio tumeumba viongozi wa taifa hili kwa kauli zetu humu and it's very unfortunately pia ni sisi ndio tumewaua kwa kuanza kuwaua humu kisha wakaja kufa kweli.
Siku hiyo ya maadhimisho ya 20 years of JF, ndio tuzindue hiyo print library, italisaidia sana taifa hili!.
Hili mnalionaje?.
P
AminaaaHuyu mwamba azidi kupumzika kwa amani.
Umesema Kweli P,Baada ya kutokea ajali nyingine another hili iliyomuua Balozi Mushi, nikaikumbuka hii ajali ya Mchungaji Mtikila, baada ya thread hii jf mode wakaweka mabandiko ya Mchungaji Mtikila humu, kusema ukweli imenichukua siku nzima kuyapitia, na katika kuyapitia wazo likanijia, inawezekana kwa Tanzania, jf ndio the biggest and the richest source of reference materials!. How can we store all these materials kwa vizazi vijavyo?.
Wenzetu Waingereza wao wanatunza kila taarifa kwenye Encyclopedia Britannica, mnaonaje kama JF tutaanzisha kitu kinachoutwa "JF Encyclopedia De Tanzania", halafu kila kinachoandikwa humu jf, kinakuwa na back copies za print out?.
Sisi wengine humu ni kama manabii fulani, japo sijui savers za jf ziko wapi lakini something is telling me, on line savers alone is not safe!, kuna siku tutapata cyber attack from UFO na kupoteza all these rich materials!.
Mkuu Maxence Melo , andaa andiko la kuanzisha JF Reference Library, humu tuweke print out ya ile michango yetu muhimu,
Mfano mimi nilijinga jf mwaka 2006, ile tarehe July, 2008, kuna mtu alipandisha bandiko humu jf kuhuhusu na jinsi ninavyoendesha pikipiki, miongoni mwa wachangiaji mle, kuna walio ombea nipate ajali nif...!, baada ya 7 days nilipata ajali mbaya ya pikipiki . Bandiko like lilifungwa likafurwa!, likapandishwa bandiko hili Pascal Mayalla apata ajali..... kwa sasa hakuna namna ya kuona kile kilichoandikwa mule, natamani nimtafute yule nabii wa majanga, usikute anaishi tuu kama mtu wa kawaida na alijisemea tuu jamaa atapata ajali na ajali ikajitokea tuu, kumbe he/she is very powerful, ana powers fulani, if properly channelled huyu ni mtu tajiri sana!.
Tuanzishe JF Reference Library tuweke print out. Nashauri 2026 tufanye maadhimisho ya 20 years of JF in Tanzania, let's compiles baadhi ya mabandiko yenye JF impact kwa taifa letu for the past 20 years!, ni sisi jf ndio tumeumba viongozi wa taifa hili kwa kauli zetu humu and it's very unfortunately pia ni sisi ndio tumewaua kwa kuanza kuwaua humu kisha wakaja kufa kweli.
Siku hiyo ya maadhimisho ya 20 years of JF, ndio tuzindue hiyo print library, italisaidia sana taifa hili!.
Hili mnalionaje?.
P
Naunga mkono hoja kwa 100% mkuu Maxence Melo apite humu na kulifanyia kazi wazo lako. Linafaida kwa miaka 20, 30, 50 na 100 ijayo.Baada ya kutokea ajali nyingine another hili iliyomuua Balozi Mushi, nikaikumbuka hii ajali ya Mchungaji Mtikila, baada ya thread hii jf mode wakaweka mabandiko ya Mchungaji Mtikila humu, kusema ukweli imenichukua siku nzima kuyapitia, na katika kuyapitia wazo likanijia, inawezekana kwa Tanzania, jf ndio the biggest and the richest source of reference materials!. How can we store all these materials kwa vizazi vijavyo?.
Wenzetu Waingereza wao wanatunza kila taarifa kwenye Encyclopedia Britannica, mnaonaje kama JF tutaanzisha kitu kinachoutwa "JF Encyclopedia De Tanzania", halafu kila kinachoandikwa humu jf, kinakuwa na back copies za print out?.
Sisi wengine humu ni kama manabii fulani, japo sijui savers za jf ziko wapi lakini something is telling me, on line savers alone is not safe!, kuna siku tutapata cyber attack from UFO na kupoteza all these rich materials!.
Mkuu Maxence Melo , andaa andiko la kuanzisha JF Reference Library, humu tuweke print out ya ile michango yetu muhimu,
Mfano mimi nilijinga jf mwaka 2006, ile tarehe July, 2008, kuna mtu alipandisha bandiko humu jf kuhuhusu na jinsi ninavyoendesha pikipiki, miongoni mwa wachangiaji mle, kuna walio ombea nipate ajali nif...!, baada ya 7 days nilipata ajali mbaya ya pikipiki . Bandiko like lilifungwa likafurwa!, likapandishwa bandiko hili Pascal Mayalla apata ajali..... kwa sasa hakuna namna ya kuona kile kilichoandikwa mule, natamani nimtafute yule nabii wa majanga, usikute anaishi tuu kama mtu wa kawaida na alijisemea tuu jamaa atapata ajali na ajali ikajitokea tuu, kumbe he/she is very powerful, ana powers fulani, if properly channelled huyu ni mtu tajiri sana!.
Tuanzishe JF Reference Library tuweke print out. Nashauri 2026 tufanye maadhimisho ya 20 years of JF in Tanzania, let's compiles baadhi ya mabandiko yenye JF impact kwa taifa letu for the past 20 years!, ni sisi jf ndio tumeumba viongozi wa taifa hili kwa kauli zetu humu and it's very unfortunately pia ni sisi ndio tumewaua kwa kuanza kuwaua humu kisha wakaja kufa kweli.
Siku hiyo ya maadhimisho ya 20 years of JF, ndio tuzindue hiyo print library, italisaidia sana taifa hili!.
Hili mnalionaje?.
P
Ulikuwa unaendesha pikipiki kishamba kama walivyo wasukuma wengi,then ukapata ajali eti ooh mtu alinitabiria, unadhani watu walikuwa hawaoni uendeshaji wako wa kikoromije.Baada ya kutokea ajali nyingine another hili iliyomuua Balozi Mushi, nikaikumbuka hii ajali ya Mchungaji Mtikila, baada ya thread hii jf mode wakaweka mabandiko ya Mchungaji Mtikila humu, kusema ukweli imenichukua siku nzima kuyapitia, na katika kuyapitia wazo likanijia, inawezekana kwa Tanzania, jf ndio the biggest and the richest source of reference materials!. How can we store all these materials kwa vizazi vijavyo?.