Wiki iliyo pita mama rwakatare alibuni habari katika gazeti la uwazi liliandikwa mama rwakatare auugua ghafla!!
Alazwa hospitali dsm.
Sasa wazee wa kanisa walisituka sana kwa sababu haikutajwa hospitali na tena mda wote walikuwa naye katika kanisani.
Mama huyo alipo hojiwa na waandishi akakiri ni kweli anaugua shinikizo la damu na amewekewa drip.
Wazee wa kanisa walipo mpigia yeye akakanusha na kusema ni mambo ya magazeti. Sasa wazee wanamshangaa ni kwa nini anabuni story na kuwalipa gazeti la uwazi ili aonekane anaumwa pressure kutokana na kuandamwa na makundi ya siasa.????
Mchungaji anakuwa muongo hata kwa wazee wa kanisa???