Mch. Getrude Rwakatare anatajwa anatajwa kumuchukua binti musukule

Mch. Getrude Rwakatare anatajwa anatajwa kumuchukua binti musukule

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
1,890
Reaction score
384
Mch .Getrude Rwakatare wa Mikocheni B Assemblise of God anatajwa kumuchukua msukule mtoto wa Joyce Masali .
Taarifa hii imeandikwa kwa undani kwenye gazeti la kiu leo lakini wameficha jina lake.
 
Tatizo hili limekuwa zito kwani Joyce anaogopa kwenda kwenye makanisa ya Kiroho kuhofia alichofanyiwa na sasa anaomba msaada wa maombi kwa viongozi wa dini
 
Gazeti hili lipo mitaani na hapa nilipo hapana scana hivyo jaribu kuangalia mitaani , gazeti lipo .Mtoto aliye potea yupo katika picha ya mbele na mama yake anaomba msaada kwani na yeye ana hali mbaya baada ya kufanyiwa ushirikina na Mama Rwakatare.
 
Heading ipo hivi:
KASHIFA NZINTO, MCHUNGAJI WA KILOKOLE ATUHUMIWA KUSHIRIKI KUMUCHUKUA BINTI MSUKULE!!
MAMA WA MTOTO AELEZA MAZITO , YU HOI KITANDANI!!
KUNA PICHA ZA WACHUNGAJI MAARUFU DSM AKIWEMO MCH GETR
 
huyo mama kazidi hata huko ccm walikompa ubunge sijui kakupendea nini maana watu wenyewe ni mafisadi,wauwaji yaani huyu mama lwakatare kapotea kabisa
 
Uchawi yaweza kuwa sehemu ya ibada ya Freemasons
 
Uchawi yaweza kuwa sehemu ya ibada ya Freemasons

sio sehemu tu, ma Freemasons mungu wao ni Lucifer/shetani! Wachungaji maarufu duniani ni ma freemasons, ila kwa nje wanatumia jina la YESU ila ndani ni mashetani makubwa! Wafwasi wao wengi are ignorant about this, na hawana kosa mbele ya Mungu!
 
Zile siu zilizotabiriwa na manabii zimekaribia, tutaona na tutasikia mengi,tusistaajabu wengine kuumbuliwa madhabahuni kwa kutumia ushirikina kuhubiri.Tuwe na subira.
 
Wiki iliyo pita mama rwakatare alibuni habari katika gazeti la uwazi liliandikwa mama rwakatare auugua ghafla!!
Alazwa hospitali dsm.
Sasa wazee wa kanisa walisituka sana kwa sababu haikutajwa hospitali na tena mda wote walikuwa naye katika kanisani.
Mama huyo alipo hojiwa na waandishi akakiri ni kweli anaugua shinikizo la damu na amewekewa drip.

Wazee wa kanisa walipo mpigia yeye akakanusha na kusema ni mambo ya magazeti. Sasa wazee wanamshangaa ni kwa nini anabuni story na kuwalipa gazeti la uwazi ili aonekane anaumwa pressure kutokana na kuandamwa na makundi ya siasa.????
Mchungaji anakuwa muongo hata kwa wazee wa kanisa???
 
Mama rwakatare mwaka juzi aliwahi kusema kanisani kwake ameangusha wachawi akiwemo ramadhani aliye kula kichwa cha mtoto mhimbili na kesi yake ipo kisutu.

Kabla ya kuanguka watoto hao aliodai ni kutokana na nguvu za mungu alikuwa anafanya kazi za kukamata misukule biashara ambayo amezidiwa na mch gwajima.
Baada ya kashfa ya rama mla watu kaacha kabisa kazi hiyo kukwepa aibu!!!
 
Wiki iliyo pita mama rwakatare alibuni habari katika gazeti la uwazi liliandikwa mama rwakatare auugua ghafla!!
Alazwa hospitali dsm.
Sasa wazee wa kanisa walisituka sana kwa sababu haikutajwa hospitali na tena mda wote walikuwa naye katika kanisani.
Mama huyo alipo hojiwa na waandishi akakiri ni kweli anaugua shinikizo la damu na amewekewa drip.

Wazee wa kanisa walipo mpigia yeye akakanusha na kusema ni mambo ya magazeti. Sasa wazee wanamshangaa ni kwa nini anabuni story na kuwalipa gazeti la uwazi ili aonekane anaumwa pressure kutokana na kuandamwa na makundi ya siasa.????
Mchungaji anakuwa muongo hata kwa wazee wa kanisa???

Unasali hilo kanisa??

Kma unaaabudu hapo ondoka haraka, unajua kusema sema issue za makanisani mara nyingi ni ujinga wa waamini!

CCM itusumbue mpaka wachungaji wenu wawasumbue jamani?? huna amani na hilo kanisa ONDOKA haraka nennda kwingine, kila unapoenda unaona hauridhiki, anzisha la KWAKO!! ndio uhuru huo

I know all dirties of mama Rwakatare both as born again believer and as Apologetist , I know almost all dirties of all these so called Televengalist!!

The root of the problem is TITHING!! fungu la kumi limechakachua sana kanisa kuliko maelezo! na ukisoma kwa makini hamna hicho kitu kinachoitwa fungu la kumi kwa wakristo -Agano Jipya, lipo kabla ya kristo!!! we can urgue this day an night

Find article, Should church teach tithing??

Leo ukitoa fungu la kumi wachungaji utakaowapata ni wale wa UKWELI tu
 
Back
Top Bottom