Mch GWAJIMA: SEREKALI TATU HAZIEPUKIKI

Mch GWAJIMA: SEREKALI TATU HAZIEPUKIKI

mnyinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
277
Reaction score
64
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima mch joeseph gwajima amesema katika mchakato wa katiba mpya inayokuja serekali tatu haziepukiki

gwajima aliyasema hayo juzi jpili wakati wa ibada

gwajima alisema anamshauri rais jk kutokubali maoni ya washauri wake wasiona mbali,

alitoa mfano kwamba kama zanzabar inasekali yake na mambo yao vipi sasa tanganyika haina serekali?

Alisema zanzbar tuwaache na mafuta yao na sisi tujifunie gesi yetu

alisema kama serekali inaliogopa jina tanganyika kutokana na asiliyake ni tanga bazi watafte namna nyingine yakujiita alimradi tu ipatikane serekali tatu.
 
gwajima yeye wafanye biashara za magendo na slaa tu hana jipya.
 
Watu ka nyie kina KATIKATI Dr Slaa anawachanganya sana....Maanda ndiye muasisi wa kuumbua mafisadi.....Isiwe na wewe ni fisadi dagaa?!!
 
gwajima ni adui wa mapepo
na slaa ni adui wa mafisadi ni lazima majitu kama@KATKATI@yalalamike maana hayo ndio majini yenyewe
hivyo usihofu bwana@mageuzi@
 
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima mch joeseph gwajima amesema katika mchakato wa katiba mpya inayokuja serekali tatu haziepukiki

gwajima aliyasema hayo juzi jpili wakati wa ibada

gwajima alisema anamshauri rais jk kutokubali maoni ya washauri wake wasiona mbali,

alitoa mfano kwamba kama zanzabar inasekali yake na mambo yao vipi sasa tanganyika haina serekali?

Alisema zanzbar tuwaache na mafuta yao na sisi tujifunie gesi yetu

alisema kama serekali inaliogopa jina tanganyika kutokana na asiliyake ni tanga bazi watafte namna nyingine yakujiita alimradi tu ipatikane serekali tatu.

Mwambie apige injili ili biashara ya sembe iishe aache siasa
 
Viongozi wa dini ni watu tunaowaheshimu sana kwa imani zao,na wanaplay role kubwa sana katika kuhakikisha mshikamano wa kitaifa ni stahimilivu...Tukiisha waruhusu hawa mabwana wakatoka nje ya vitabu vyao vya dini ni bomu baya kuliko silaha za kibaiologia zinazosadikika kuua watu wa Syria! Kama bwana Gwagima alizungumzia kwenye Madhabahu alikuwa wrong ila kama alizungumzia kwenye mimbara ya kisiasa he was right!
 
gwajima yeye wafanye biashara za magendo na slaa tu hana jipya.

Gwajima hafanyi biashara na Slaa,...

Angalia hapa chini kwenye picha uone....

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipongezwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, baada ya kutoa mahubiri yake katika kipindi cha ‘Hekima za Viongozi' alipohudhuria ibada ya Kanisa hilo jana kwenye Viwanja vya kilichokuwa kiwanda cha kusindika
nyama cha Tanganyika Packers, Kawe mjini Dar es Salaam. Nape alihudhuria ibada hiyo kutokana na mwaliko wa kanisa hilo.

NAPE%2BNA%2BGWAJIMA.jpg
 
Acha uongo!hiyo sio ibada,labda ni hotuba,huwezi kuabudu kwa kumtaja mwanasiasa na siasa halafu ukasema ni ibada.Karagabao na uongo wenu.
 
Katiba ni kwa maoni ya Wananchi na si ya mtu kuwasemea wengine....
 
Huyu nape ni msukule umerudi au? Mm sielewi kabisa, gwajima wewe endelea kusugua goti kuwatoa mapepo hawa kina nape maana sio wao ni roho chafu
 
Nakosa la kusema sijua mapastors wanaojihusisha na siasa ni wehu au ?but nikiwaza kuhusu kina Msigwa mbona wanajielewa lakini
 
Back
Top Bottom