Mch Gwajima: Serikali imekataa kuwatambua Pentecoste Bunge la Katiba;

Mch Gwajima: Serikali imekataa kuwatambua Pentecoste Bunge la Katiba;

mnyinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
277
Reaction score
64
Mchungaji joseph gwajima amechukizwa na kitendo cha serikali kutowatambua makanisa ya pentecoste mchini katka bunge la katiba,

mchungaji huyo amesema kuna makundi ya dini kama tec,likiwakilisha katoliki:

kuna bakwata likiwakilisha waislam:

lakini kundi la pct halikutambulika pamoja nakwamba linasimamia watu ml 11 hapa nchini,

amesema tayari wamemwandikia barua rais jakaya kikwete wakitaka waelezwe nikwanini wameachwa:

kama hatutashiriki kuunda katba inamaana sisi sii watanzania.
 
Hajui giza na nuru avikai pamoj

wataitwaje??awaache tuone vituko mule ndani


awaache wafu wazike wafu wao
 
Gwajima mwenyewe hana maana sana zaidi ya uchochezi tu.
 
Wote mnaotukana ni mashetani mshindwe kwa jina la Yesu
 
Eti wanawakilisha watanzania milion 11!?

Mwambie aendelee na biashara yake ya kufufua misukule! Atawapata huko huko, sio huku!
 
Muungano wao wenyewe Ni maghumashi Hata haueleweki. RC baba Yao anawawakilisha, kosa li wapi? Aseme makanisa ya Mbeya hayajawakilishwa
 
Hapana msitetee makosa ya kipuuzi kundi hili la Wapentekoste ni kundi la Muhimu sana Mie nashauri kwa kuwa Rais wamewapuuza kwenye upigaji wa kura ya Rasimu ya Katiba Mpya kundi hili liopige kura ya HAPANA na Serikali ya CCM ikisimamisha mgombea wao kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 mtindo uwe ule ule wapige kura ya NOOOO!!!

Na msimamo huu wauweke mapema kabisa ili serikali ya ccm ilijui hilo.

DHARAU ZAO NDIO ZITAFIKIA UKOMO.
 
Hapana msitetee makosa ya kipuuzi kundi hili la Wapentekoste ni kundi la Muhimu sana Mie nashauri kwa kuwa Rais wamewapuuza kwenye upigaji wa kura ya Rasimu ya Katiba Mpya kundi hili liopige kura ya HAPANA na Serikali ya CCM ikisimamisha mgombea wao kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 mtindo uwe ule ule wapige kura ya NOOOO!!!

Na msimamo huu wauweke mapema kabisa ili serikali ya ccm ilijui hilo.

DHARAU ZAO NDIO ZITAFIKIA UKOMO.

Nakubaliana nawe...Pentecostals nchi hii ni wengi sana pengine hata protestants (CCT), ni kitendo cha dharau isiyokubalika kupuuzwa kwa kiwango hiki.
 
Tatizo labda haijulikani tofauti kati ya pentecoster na protestant au lutherani.
Sisi wasabato,washia,ahmadiya ,jehova nasi mmetusahau ilitakiwa kila kanisa liwakilishwe.
 
Arghhhhh...kama ni wafanyabiashara watakuwa wamewakilishwa na kundi la "wafanyabiashara"...mbona sie wapagani hata chama chetu serikali imegoma kukisajili?...na freemasons nao wanataka uwakilishi kwenye kuunda katiba sasa rais afanyeje?

Gwajima akuwe ajuweee...aache utoto...wakiwa mil 11 so what?...amesahau kuwa tupo mil 50?..tatizo nini? Hao mil 39 wamewakilishwa na wanatosha kuunda katiba.

Pia wanaweza kuunda baraza lao la katiba wakaunda "ya-kwao tutaitumia kuundia katiba ya tanganyika....kwani mchungaji mtikili naye ni wa tec sio??
 
watu mnapuuza tu hoja ya Gwajima ila ni ya msingi, ukijaribu kutazama yale majina pale kwenye wawakilishi wa dini utagundua kuwa kuna watu hawakutakiwa kuwepo pale, jaribuni kuwa wachambuzi na sio kuongozwa na hisia na matusi au kejeli
 
Mie nashauri kwa kuwa Rais wamewapuuza kwenye upigaji wa kura ya Rasimu ya Katiba Mpya kundi hili liopige kura ya HAPANA

DHARAU ZAO NDIO ZITAFIKIA UKOMO.

halafu nini kitatokea? katiba iliyopo inaendelea, as simple as that
 
Labda tupate kujua makanisa ya kipentecoste ni nini?
Pentecoste si kanisa moja bali ni mkusanyiko wa makanisa yenye imani inayoshabihiana (japo kuna kanisa linaloitwa pentekoste) wapentekoste (walokole) ni makanisa yanayoamini katika ( tuelevezee vitu vijulikanavyo kwa wengine) roho mtakatifu (kunena kwa lugha), ubatizo wa maji mengi, kufunga na kuomba (kuomba kunajumuisha kukesha ktk maombi-long time prayers) miujiza (viwete kutembea, vipofu kuona, viziwi kusikia n.k) kutoa pepo (kwa jina la Yesu) na mengine mengi
Makanisa ya pentecoste yanajumuisha baadhi ya makanisa kama T.A.G, EFATHA, E.A.G.T, FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP, UFUFUO NA UZIMA, CALVARY ASSEMBLIES OF GOD, PEFA, FPCT, PCT, WAPO, wachungaji kama KULOLA, MWINGIRA, MUNUO, LUSEKELO, KAKOBE, MAMA LWAKATARE, DUSTAN MABOYA, huko nje huduma (ministries) kama vile CFAN-REINHARD BONNKE, BILL GRANHAM, BENNY HINN , MORRIS CERRULO, TB JOSHUA, GEORGE GICHANA (G.G) JOYCE MEYER,ROY DURMAN, EGON FALK, n.k
 
Labda tupate kujua makanisa ya kipentecoste ni nini?<br>Pentecoste si kanisa moja bali ni mkusanyiko wa makanisa yenye imani inayoshabihiana (japo kuna kanisa linaloitwa pentekoste) wapentekoste (walokole) ni makanisa yanayoamini katika ( tuelevezee vitu vijulikanavyo kwa wengine) roho mtakatifu (kunena kwa lugha), ubatizo wa maji mengi, kufunga na kuomba (kuomba kunajumuisha kukesha ktk maombi-long time prayers) miujiza (viwete kutembea, vipofu kuona, viziwi kusikia n.k) kutoa pepo (kwa jina la Yesu) &nbsp;na mengine :israel::israel:mengi<br>Makanisa ya pentecoste yanajumuisha baadhi ya makanisa kama T.A.G, EFATHA, E.A.G.T, FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP, UFUFUO NA UZIMA, CALVARY ASSEMBLIES OF GOD, PEFA, FPCT, PCT, WAPO, &nbsp; wachungaji kama KULOLA, MWINGIRA, MUNUO, LUSEKELO, KAKOBE, MAMA LWAKATARE, DUSTAN MABOYA, huko nje huduma (ministries) kama vile CFAN-REINHARD BONNKE, BILL GRANHAM, BENNY HINN , MORRIS CERRULO, TB JOSHUA, GEORGE GICHANA (G.G) JOYCE MEYER,ROY DURMAN, EGON FALK, n.k
 
Back
Top Bottom