halafu nini kitatokea? katiba iliyopo inaendelea, as simple as that
wengine wanapokula chakula hukaa vidoleni?
Binafsi nahisi baba yetu wa kiroho hayuko sahihi..mana dini ni nyingi na ndani ya hizo dini imani ni tofauti..kwanin asiwakilishe hayo maon yao ktk hyo taass ambayo serikal inaitamabua..vp na wale ambao hawaamin ktk bakwata nao wainuke kudai serkal haijawajal?
Aache ujinga wake anataka kutuletea udini
Hapa sio kwetu tuiangalie katiba ya mbingun ambayo tangu kuumbwa kwa mwanadam haijawahi badilika
Gwajima ni mchumia tumbo kivipi??? Mtu anayeweza kutoa kiasi cha kumpatia mwingine gari jipya unathubutu kumwita mchumia tumbo!!!
Wakati wewe hata kutoa ka-Baiskeli ni TATIZO KUBWA la Karne.
Baba yako wa kiroho huwezi kumdharau kiasi hichi vinginevyo roho unayoingolea ni ya yule wa upande wa pili.Binafsi nahisi baba yetu wa kiroho hayuko sahihi..mana dini ni nyingi na ndani ya hizo dini imani ni tofauti..kwanin asiwakilishe hayo maon yao ktk hyo taass ambayo serikal inaitamabua..vp na wale ambao hawaamin ktk bakwata nao wainuke kudai serkal haijawajal?
Sioni ubaya katika hoja aliyoitoa mchangiaji kiasi cha kumweka katika kundi la wasioheshimu baba zao wa kiroho. Unless useme kuwa baba wa kiroho hawapaswi kushauriwa!.Baba yako wa kiroho huwezi kumdharau kiasi hichi vinginevyo roho unayoingolea ni ya yule wa upande wa pili.
Unathitisha kuwa unapotosha umma na jamii ambayo kwa sasa ina elimu ya kutosha.
Mheshi baba yako ili jamii nayo ipate kukuheshimu wewe
huyu jamaa mzima kweli.....kama anataka kila dhehebu liwe na ushiriki bunge lote si litajaa maaskofu.....
umesahau:Labda tupate kujua makanisa ya kipentecoste ni nini?<br>Pentecoste si kanisa moja bali ni mkusanyiko wa makanisa yenye imani inayoshabihiana (japo kuna kanisa linaloitwa pentekoste) wapentekoste (walokole) ni makanisa yanayoamini katika ( tuelevezee vitu vijulikanavyo kwa wengine) roho mtakatifu (kunena kwa lugha), ubatizo wa maji mengi, kufunga na kuomba (kuomba kunajumuisha kukesha ktk maombi-long time prayers) miujiza (viwete kutembea, vipofu kuona, viziwi kusikia n.k) kutoa pepo (kwa jina la Yesu) na mengine :israel::israel:mengi<br>Makanisa ya pentecoste yanajumuisha baadhi ya makanisa kama T.A.G, EFATHA, E.A.G.T, FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP, UFUFUO NA UZIMA, CALVARY ASSEMBLIES OF GOD, PEFA, FPCT, PCT, WAPO, wachungaji kama KULOLA, MWINGIRA, MUNUO, LUSEKELO, KAKOBE, MAMA LWAKATARE, DUSTAN MABOYA, huko nje huduma (ministries) kama vile CFAN-REINHARD BONNKE, BILL GRANHAM, BENNY HINN , MORRIS CERRULO, TB JOSHUA, GEORGE GICHANA (G.G) JOYCE MEYER,ROY DURMAN, EGON FALK, n.k
PCT siyo dhehebu, ni umoja wa madhehebu mengi ya Kipentekoste.