Labda tupate kujua makanisa ya kipentecoste ni nini?<br>Pentecoste si kanisa moja bali ni mkusanyiko wa makanisa yenye imani inayoshabihiana (japo kuna kanisa linaloitwa pentekoste) wapentekoste (walokole) ni makanisa yanayoamini katika ( tuelevezee vitu vijulikanavyo kwa wengine) roho mtakatifu (kunena kwa lugha), ubatizo wa maji mengi, kufunga na kuomba (kuomba kunajumuisha kukesha ktk maombi-long time prayers) miujiza (viwete kutembea, vipofu kuona, viziwi kusikia n.k) kutoa pepo (kwa jina la Yesu) na mengine :israel::israel:mengi<br>Makanisa ya pentecoste yanajumuisha baadhi ya makanisa kama T.A.G, EFATHA, E.A.G.T, FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP, UFUFUO NA UZIMA, CALVARY ASSEMBLIES OF GOD, PEFA, FPCT, PCT, WAPO, wachungaji kama KULOLA, MWINGIRA, MUNUO, LUSEKELO, KAKOBE, MAMA LWAKATARE, DUSTAN MABOYA, huko nje huduma (ministries) kama vile CFAN-REINHARD BONNKE, BILL GRANHAM, BENNY HINN , MORRIS CERRULO, TB JOSHUA, GEORGE GICHANA (G.G) JOYCE MEYER,ROY DURMAN, EGON FALK, n.k