Mch. Hananja: Hata mimi niliwahi kusimamishwa kuhudumu KKKT bila kufuatwa kwa utaratibu wala kupewa sababu ni nini

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Mchungaji mstaafu wa KKKT, Richard Hananja ameelezea kuwa kusimamishwa kwa Mch. Eliona Kimaro siyo tukio la kwanza ndani ya KKKT maana hata yeye aliwahi kusimamishwa mwaka mmoja kuhudumu kanisa la Kigogo bila kuambiwa kosa ni nini na bila kufuatwa utaratibu kwani wao ni waajiriwa na muajiri wao ni katibu mkuu ndiye anayepaswa kuwapa barua za kusimamishwa na siyo Askofu wa Dayosisi.

Kusimamishwa sio hoja, hoja ni kumpatia barua ya kumsimamisha wakati yuko katika mfululizo wa vipindi vya mafundisho.

Wangesubir amalize, wakamwita kimyakimya , hii ndyo hekima, walichokifanya ni matumizi ya kichwa kama mfuniko wa shingo, na sio kitunza akili

Nayeyuka kitahilatahila
 
Vipindi Vya mafunzo yapi yake au kwa mujibu wa kalenda ya kanisa,unaposimamishwa. Au kwenda likizo kinachoangaliwa ni majira au kalenda ya kanisa inataka nn na kinafanyika nini?

Kama Kila mtu angetumia busara basi hakuna haja ya taratibu. Kwa maana si Kila wote wenye busara na kila.busara inatumika Ina kiwango chake.

Simchukii kimaro hata mm nasikiliza mahubili yake hata km siko chini yake Bali naeshimu taratibu,hata wewe nyumbani kwako una taratibu zako. Miiko yako na maadili yako
 
Kusimamishwa sio hoja, hoja ni kumpatia barua ya kumsimamisha wakati yuko katika mfululizo wa vipindi vya mafundisho.

Wangesubir amalize, wakamwita kimyakimya , hii ndyo hekima, walichokifanya ni matumizi ya kichwa kama mfuniko wa shingo, na sio kitunza akili

Nayeyuka kitahilatahila
Kwani aliyetangaza ni nani?

Muwe mnafuatilia mambo
 
Hata mimi nilikuwa nadhani kuwa jamaa ni comedian. Kumbe ni mchungaji kweli? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mzee ni comedian tangu akiwa kijana.Ana kisa kimoja huwa nacheka sana nikikumbuka.

Anakuambia enzi akiwa mtu mzima wa makamo,alinunua kiwanja Pugu,akajenga nyumba yake Safi kabisa. Tatizo likaanza jirani yake anaongeza eneo lake kwa kumega kiwanja Cha mchungaji Hananja. Akamwita kumweka chini wajadili jamaa akaleta ujeuri na bifu la kugombania eneo likaanza.

Mchungaji akaona huyu hanijui Mimi; Siku moja akamwaga mkewe mapema kabisa asubuhi kwamba anasepa atarudi jioni,basi jioni akarudi na kipande Cha nguo nyeupe(sanda) kipande Cha nguo nyekundu na jogoo lililonona 'kwerikweri'. Akamnyonyoa manyoya jogoo akamwacha uchi Kisha kile kipande Cha sanda na kike chekundu akaviunganidha akatengeza vizuuri kabis ukikiangalia ni Kama hirizi fulani hivi amazing,hirizi kubwa kwelikweli. Basi akamvisha jogoo shingoni Kama amemvalisha cheni Kisha majira ya usiku akaenda kumweka barazani kwa mgomvi wake wa kiwanja.

Anakuambia jamaa ameamka asubuhi Cha kwanza breki kwa mchungaji Hananja kulalamika analogwa lakini anatemloga hatafanikiwa maana ameaga kwao. Mchungaji alimfanyia Visa vya uchawi feki jamaa moaka siku moja wakawekana kikao jamaa ame-surrender kea hiyo anauza eneo lote anataka ahame akajenge sehemu nyingine.

So mchungaji akaamua anunue nyumba na eneo lote la jiranj yake. Anakuambia maisha bila kutumia akili kila siku utakuwa unalia na kuonewa. Nachekava Sana Visa vyake huyu mzee.
 
Mchungaji mstaafu wa KKKT, Richard Hananja ameelezea kuwa kusimamishwa kwa Mch. Eliona Kimaro siyo tukio la kwanza ndani ya KKKT maana hata yeye aliwahi kusimamishwa mwaka mmoja kuhudumu kanisa la Kigogo bila kuambiwa kosa ni nini na bila kufuatwa utaratibu kwani wao ni waajiriwa na muajiri wao ni katibu mkuu ndiye anayepaswa kuwapa barua za kusimamishwa na siyo Askofu wa Dayosisi.

View attachment 2485871

View attachment 2485875

Rich Bilionea
 
Kusimamishwa sio hoja, hoja ni kumpatia barua ya kumsimamisha wakati yuko katika mfululizo wa vipindi vya mafundisho.

Wangesubir amalize, wakamwita kimyakimya , hii ndyo hekima, walichokifanya ni matumizi ya kichwa kama mfuniko wa shingo, na sio kitunza akili

Nayeyuka kitahilatahila
Hatuyajui yaliyojificha hata mimi nimewaza hivyo lakini huwezi jua pengine mchungaji alipewa taarifa kabla akaona asonge mbele(alipuuza)
 
I AM CATHOLIC

I am Catholic, not because of the Pope.

I am Catholic not because of the Cardinals.

I am Catholic not because of her priests, deacons or religious.

I am Catholic not because of her selfless missionaries.

I am Catholic not because of monks, nuns or her seminarians.

I am Catholic not because of her courageous lay faithfuls.

I am Catholic not because it is the longest institution ever in the history of humanity.

I am Catholic not because it is the number one altruistic charity institution ever in the history of mankind.

I am Catholic not because it is the Mother Church.

I am Catholic not because of her solemn music at her different liturgies.

I am Catholic not because of her wonderful histories in shaping mankind out of darkness into civilization.

I am Catholic not because of her colourful lectors, cantors, choirs, acolytes etc.

I am Catholic not because of her beautiful basilicas, churches, seminaries, hospitals, monasteries, schools, orphanages etc.

Why then am I a Catholic?

"I am Catholic because it was the only Church truly founded by Jesus Christ our Blessed Lord (any other church has human foundation).

"I am Catholic because it is Apostolic, Universal, Catholic and Holy".

"I am Catholic because it is guided by the learnt Magisterium through the Holy Scripture with the Holy Spirit".

"I am Catholic because of Eucharist the true body and blood of Jesus"

"I am Catholic because there is power in the intercession of the Blessed Virgin Mary ,the Saints and the Angels of God".

"I am Catholic because there is the Forgiveness of sins, the communion of saints, the resurrection of the dead and the life eternal"...

Long Live the Catholic Church

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mchungaji akiwa kigogo alichukua mateja na machangudoa akawaleta kanisa na kuanza kuwahubiria mpaka wakabadilika kipindi anawaleta baadhi ya waumini waliondoka wakasema wataibiwa fedha na simu.

Baada ya juhudi zake kuonekana gtz na tajiri wa Scandinavia wakamwaga mpunga hapo ndio ugomvi ukaanza kwanini pesa hazijapitia jimboni ila walikuwa mateja na machangudoa walisimama imara mchungaji wao arudishwe
 
I AM CATHOLIC

I am Catholic, not because of the Pope.

I am Catholic not because of the Cardinals.

I am Catholic not because of her priests, deacons or religious.

I am Catholic not because of her selfless missionaries.

I am Catholic not because of monks, nuns or her seminarians.

I am Catholic not because of her courageous lay faithfuls.

I am Catholic not because it is the longest institution ever in the history of humanity.

I am Catholic not because it is the number one altruistic charity institution ever in the history of mankind.

I am Catholic not because it is the Mother Church.

I am Catholic not because of her solemn music at her different liturgies.

I am Catholic not because of her wonderful histories in shaping mankind out of darkness into civilization.

I am Catholic not because of her colourful lectors, cantors, choirs, acolytes etc.

I am Catholic not because of her beautiful basilicas, churches, seminaries, hospitals, monasteries, schools, orphanages etc.

Why then am I a Catholic?

"I am Catholic because it was the only Church truly founded by Jesus Christ our Blessed Lord (any other church has human foundation).

"I am Catholic because it is Apostolic, Universal, Catholic and Holy".

"I am Catholic because it is guided by the learnt Magisterium through the Holy Scripture with the Holy Spirit".

"I am Catholic because of Eucharist the true body and blood of Jesus"

"I am Catholic because there is power in the intercession of the Blessed Virgin Mary ,the Saints and the Angels of God".

"I am Catholic because there is the Forgiveness of sins, the communion of saints, the resurrection of the dead and the life eternal"...

Long Live the Catholic Church

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sawasawa.
 
I AM CATHOLIC

I am Catholic, not because of the Pope.

I am Catholic not because of the Cardinals.

I am Catholic not because of her priests, deacons or religious.

I am Catholic not because of her selfless missionaries.

I am Catholic not because of monks, nuns or her seminarians.

I am Catholic not because of her courageous lay faithfuls.

I am Catholic not because it is the longest institution ever in the history of humanity.

I am Catholic not because it is the number one altruistic charity institution ever in the history of mankind.

I am Catholic not because it is the Mother Church.

I am Catholic not because of her solemn music at her different liturgies.

I am Catholic not because of her wonderful histories in shaping mankind out of darkness into civilization.

I am Catholic not because of her colourful lectors, cantors, choirs, acolytes etc.

I am Catholic not because of her beautiful basilicas, churches, seminaries, hospitals, monasteries, schools, orphanages etc.

Why then am I a Catholic?

"I am Catholic because it was the only Church truly founded by Jesus Christ our Blessed Lord
(any other church has human foundation).

"I am Catholic because it is Apostolic, Universal, Catholic and Holy".

"I am Catholic because it is guided by the learnt Magisterium through the Holy Scripture with the Holy Spirit".

"I am Catholic because of Eucharist the true body and blood of Jesus"

"I am Catholic because there is power in the intercession of the Blessed Virgin Mary ,the Saints and the Angels of God"
.

"I am Catholic because there is the Forgiveness of sins, the communion of saints, the resurrection of the dead and the life eternal"...

Long Live the Catholic Church

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Vox Populi, Vox Dei. Proud Catholic.
 
Kumbe huyu ni Mchungaji kweli, mimi nilijua anaigiza kama msanii tu.
Ahhh huyu ashakuja mpaka Kijitonyama kuhamasisha sikukuu ya Mavuno kipindi ni mchungaji wa KKKT Msasani tena amekremisha mistari ya biblia huyo hakuna asioujua yuko vzr kichwani sema anaongea sana
 
Kusimamishwa sio hoja, hoja ni kumpatia barua ya kumsimamisha wakati yuko katika mfululizo wa vipindi vya mafundisho.

Wangesubir amalize, wakamwita kimyakimya , hii ndyo hekima, walichokifanya ni matumizi ya kichwa kama mfuniko wa shingo, na sio kitunza akili

Nayeyuka kitahilatahila
Mkuu mafundisho kanisani hayaishagi, kuna ya asubuhi na jioni kila siku. Hiyo ndiyo kazi yenyewe ya Mchungaji.
 
Huyo Kimaro kayataka mwenyewe, kapewa barua ya likizo kaja kulalamika kwa waumini na kujiliza ili awachochee. Asubiri akapangiwe Kisiju, kule kazi ya Mungu inahitaji mabadiliko.
 
Kama kawaida yake anachomekea utani ila kapiga facts 🤣🤣🤣🤣🤣

Nami naungana na hoja za Mch. Hananja
 
Back
Top Bottom