The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
View: https://youtu.be/5eOakl1l_IE?si=gZ5mslJf7YS3AY9i
➡Huyu ni Mchungaji Dickson Kabigumila akitoa unabii kwa matukio ya kisiasa yatakayotokea ktk miezi mitatu ijayo...
➡Anasema ktk miezi mitatu ijayo; April - Juni, 2025 miongoni mwa mambo 10 yatakayotokea ni upinzani ukiongozwa na CHADEMA utapata nguvu sana na hilo litawashitua watawala na kuanza kukubaliana na madai yao...
➡Anaendelea kusema, kuna watu ambao hata hawajawahi kudhaniwa wala kufikiriwa watainuka na kusema kuunga mkono madai ya upinzani na watu hawataogopa kifo tena....!
➡Cha kushangaza zaidi ni kuwa, wasiposikia na kuelewa bado Mungu anaweza kuinua hata mawe na miti nayo itasema...
=====Mtazame na msikilize ktk video hiyo ☝🏻☝🏻☝🏻fupi ya dakika 2====