The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Sawa,tupe historia kwa ufupiI respect that Man of God!
Nina historia nae huyo Mtumishi
😀Nielekeze hilo kanisa nianze kusali chap chap,huku kwa mwamposa naona nafanya kazi ya kunenepesha mtu anayeharisha.
View: https://youtu.be/5eOakl1l_IE?si=gZ5mslJf7YS3AY9i➡Huyu ni Mchungaji Dickson Kabigumila akitoa unabii kwa matukio ya kisiasa yatakayotokea ktk miezi mitatu ijayo...
➡Anasema ktk miezi mitatu ijayo; April - Juni, 2025 miongoni mwa mambo 10 yatakayotokea ni upinzani ukiongozwa na CHADEMA utapata nguvu sana na hilo litawashitua watawala na kuanza kukubaliana na madai yao...
➡Anaendelea kusema, kuna watu ambao hata hawajawahi kudhaniwa wala kufikiriwa watainuka na kusema kuunga mkono madai ya upinzani na watu hawataogopa kifo tena....!
➡Cha kushangaza zaidi ni kuwa, wasiposikia na kuelewa bado Mungu anaweza kuinua hata mawe na miti nayo itasema...
=====Mtazame na msikilize ktk video hiyo ☝🏻☝🏻☝🏻fupi ya dakika 2====

TAL na JWH ni Mussa na Haruni, tukasome Kitabu cha Kutoka Sura ya Saba hadi ya 12, wana Wa Israel na Farao na mambo 10 mazito yaliipiga Misri pamoja namajeshi ya Farao lakini wakaja kushindwa vibaya kwakua Mungu alikua pamoja nao na sisi tusife Moyo tupo sehemu sahihi kabisa tusiogope
View: https://youtu.be/5eOakl1l_IE?si=gZ5mslJf7YS3AY9i➡Huyu ni Mchungaji Dickson Kabigumila akitoa unabii kwa matukio ya kisiasa yatakayotokea ktk miezi mitatu ijayo...
➡Anasema ktk miezi mitatu ijayo; April - Juni, 2025 miongoni mwa mambo 10 yatakayotokea ni upinzani ukiongozwa na CHADEMA utapata nguvu sana na hilo litawashitua watawala na kuanza kukubaliana na madai yao...
➡Anaendelea kusema, kuna watu ambao hata hawajawahi kudhaniwa wala kufikiriwa watainuka na kusema kuunga mkono madai ya upinzani na watu hawataogopa kifo tena....!
➡Cha kushangaza zaidi ni kuwa, wasiposikia na kuelewa bado Mungu anaweza kuinua hata mawe na miti nayo itasema...
=====Mtazame na msikilize ktk video hiyo ☝🏻☝🏻☝🏻fupi ya dakika 2====
Hii bila shaka ilikuwa 1995 ubunge wake ulipotenguliwa na mahakama kwa sababu ya kuhusishwa na rushwa...
Lazima wasikie wasiyopenda kusikia kwa kuwa ndiyo dawa ya kupona kwao..Chama chawala hawazipendi kabisa hizi tabiri