Mch. Katekela: Kanumba hakufa

Mch. Katekela: Kanumba hakufa

2014 au 2015 vipeperushi vilimwagwa mitaani kuwa kesho yake zumaridi anamfufua kanumba.

Wajinga wote walikusanyika iseni ilipokuwa kanisa la zumaridi.

Mama yake kanumba nae alifika kanisani pale🤣🤣

Maombi yakaanza saa tatu asubuhi mpaka jion the great hakuonekana.

Mfalme akawaambia waamini wake wasali tena hadi asubuhi siku inayofata.

Wakati maombi yanaendelea kanisani nje kulikuwa kumejaa washuhudiaji wakisubiri the great kanumba atokeešŸ¤­šŸ˜…

Waamini wale walishinda njaa wakalala njĆ a asubuhi wakapanda haice wakarudi kwao
Mjini kuna ujinga mwingi.
 
Ostaadh hebu sema kweli!

Angekuwa ni Sheikh Kipozeo ndiyo kakutatanisha hivyo kweli ungeupandisha huu uzi? 😳
Shehe Kipozeo ni nani?

Inaelekea ni mtu maarufu sana. Nimeshaiona nyuzi kadhaa humu watu wakimtaja. Naamini atakuwa mmoja wa viongozi mashuhuri katika dini ya Uislamu hapa nchini.
 
Hiyo video ni mb36 siwezi kumaliza kwa kumsikiliza kichaa
Usihukumu...

Ulipaswa kujiuliza:
1. Kwa nini kasema hivyo?
2. Anaweza kuthibitisha akisemacho?
3. Ikiwa ni uongo, kwa nini Serikali haijamchukulia hatua zozote?
 
Na wewe kwa akili yako na usomi wako ukaona kuwa hayo maneno yana ukweli na yanatoka kwa mtu mzima; na siyo tapeli tu linalotumia jina la Yesu?
Sijakunali wala kukataa. Nitafanya hivyo nikishapata uthibitisho usiotia shaka.
 
Back
Top Bottom