Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi kikae na vyama vya upinzani wajadili kuhusu mabaduliko ya uchaguzi.
Ameeleza uchaguzi ukifanyika bila mabadiliko unaweza kuleta athari kwa taifa.
"Ushauri wangu ni, wale walioshika mpini chama cha mapinduzi wakubali kukaa chini na vyama vya upinzani wazungumzd kuhusu hatma ya nchi.
Na mgogoro upo kwenye sheria za uchaguzi kwahiyo tukae kabla ya uchaguzi tuzungumze kuhusu haya , tukubaliane tuendeje kwenye uchaguzi.
Na hao wanaopiga kelele wanaonesha njia tufanye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ndipo wote kwa pamoja na kwa amani tuingie kwenye uchaguzi" - Mchungaji Kimondo