GE2025 Mch. Kimondo ashauri CCM wakae chini na vyama vya upinzani wazungumze kuhusu hatma ya nchi na mgogoro kuhusu sheria za uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu

Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi kikae na vyama vya upinzani wajadili kuhusu mabaduliko ya uchaguzi.

Ameeleza uchaguzi ukifanyika bila mabadiliko unaweza kuleta athari kwa taifa.

"Ushauri wangu ni, wale walioshika mpini chama cha mapinduzi wakubali kukaa chini na vyama vya upinzani wazungumzd kuhusu hatma ya nchi.

Na mgogoro upo kwenye sheria za uchaguzi kwahiyo tukae kabla ya uchaguzi tuzungumze kuhusu haya , tukubaliane tuendeje kwenye uchaguzi.

Na hao wanaopiga kelele wanaonesha njia tufanye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ndipo wote kwa pamoja na kwa amani tuingie kwenye uchaguzi"
- Mchungaji Kimondo
Your browser is not able to display this video.
 
Hawawezi kukubali kukaa na wapinzani. Wanajua fika watawapora mapande yao ya nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…