Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji.

Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
Screenshot_20220903-151217.jpg
 
Kesho nakwenda kusali kwake,nitamsikiliza vizuri lazima atalizungumzia, tozo ni unyonyaji
 
Nchi ya vichaa hii. Ngoja niende ZANGU Zambia
 
Attachments

  • 20220421_174939.jpg
    20220421_174939.jpg
    34.8 KB · Views: 3
Sadaka itozwe kodi na tozo. Hapa ndiyo utasikia makelele ya huyu m-KVANT.
 
ipo siku tz itapata Rais ambae ataweka tozo &kodi kwenye haya makanisa,maana uko serikali inapoteza mapato mengi sana
 
ipo siku tz itapata Rais ambae ataweka tozo &kodi kwenye haya makanisa,maana uko serikali inapoteza mapato mengi sana
Serikali haijielewi hivi pale kwa mwamposa ni kanisa lile maana hawajasajiliwa ibaki kusemwa ni biashara .
 
Back
Top Bottom