Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hili takataka kumbe bado lipo, RubbishKodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji.
Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
View attachment 2344384
Huyu hata Benki hapajui maana anavuna asivyopanda.Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji.
Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
View attachment 2344384
Serikali haijielewi hivi pale kwa mwamposa ni kanisa lile maana hawajasajiliwa ibaki kusemwa ni biashara .ipo siku tz itapata Rais ambae ataweka tozo &kodi kwenye haya makanisa,maana uko serikali inapoteza mapato mengi sana