johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia
Mchungaji Msigwa amesema ukiwa Chadema macho hupofushwa Ili usiyaone mazuri yote ya CCM
Mchungaji Msigwa amekiri kupata Ukombozi mpya maishani na wakati wowote kuanzia sasa ataelekea kaburini Chato kuweka Maua ya ushuhuda na kusaini Kitabu cha watakatifu wote kwenye ile Sikukuu yao
Msigwa yuko ziarani Kanda ya Ziwa
Ikumbukwe mchungaji Msigwa alipokuwa Kipofu alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli
Nawatakia Sabato Njema 😄🌹