johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani hivi sasa anaona? Naona bado kipofu. Kwanza angaliomba waumini wake aliowapteza alipokuwa mchungajiMbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia
Mchungaji Msigwa amesema ukiwa Chadema macho hupofushwa Ili usiyaone mazuri yote ya CCM
Mchungaji Msigwa amekiri kupata Ukombozi mpya maishani na wakati wowote kuanzia sasa ataelekea kaburini Chato kuweka Maua ya ushuhuda na kusaini Kitabu cha watakatifu wote kwenye ile Sikukuu yao
Msigwa yuko ziarani Kanda ya Ziwa
Ikumbukwe mchungaji Msigwa alipokuwa Kipofu alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli
Nawatakia Sabato Njema 😄🌹
Soma ulichoandika. Heading na maelezo ni kinyume!Mbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia
Mchungaji Msigwa amesema ukiwa Chadema macho hupofushwa Ili usiyaone mazuri yote ya CCM
Mchungaji Msigwa amekiri kupata Ukombozi mpya maishani na wakati wowote kuanzia sasa ataelekea kaburini Chato kuweka Maua ya ushuhuda na kusaini Kitabu cha watakatifu wote kwenye ile Sikukuu yao
Msigwa yuko ziarani Kanda ya Ziwa
Ikumbukwe mchungaji Msigwa alipokuwa Kipofu alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli
Nawatakia Sabato Njema 😄🌹
Ni afadhali hapo zamani alipokuwa kipofu kuliko sasa ambapo amekuwa punguani na mnafiki.Mbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia
Mchungaji Msigwa amesema ukiwa Chadema macho hupofushwa Ili usiyaone mazuri yote ya CCM
Mchungaji Msigwa amekiri kupata Ukombozi mpya maishani na wakati wowote kuanzia sasa ataelekea kaburini Chato kuweka Maua ya ushuhuda na kusaini Kitabu cha watakatifu wote kwenye ile Sikukuu yao
Msigwa yuko ziarani Kanda ya Ziwa
Ikumbukwe mchungaji Msigwa alipokuwa Kipofu alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli
Nawatakia Sabato Njema 😄🌹
Sasa hivi amekuwa kipofu, punguani na mnafiki.Kwani hivi sasa anaona? Naona bado kipofu. Kwanza angaliomba waumini wake aliowapteza alipokuwa mchungaji
Ndiyo mkataba wake wa kununuliwa CCM unavyoelezaAkae kwa kutulia tu, maana wakati mwingine amekuwa akiongea kupitiliza pasipo kuacha akiba ya maneno kwa siku za usoni
Sahivi amekuwa chizi haswaNi afadhali hapo zamani alipokuwa kipofu kuliko sasa ambapo amekuwa punguani na mnafiki.
Huyu ni tapeli hana loloteKwani hivi sasa anaona? Naona bado kipofu. Kwanza angaliomba waumini wake aliowapteza alipokuwa mchungaji
Msigwa ana laana ya MUNGUTaka taka msigwa
Atafanya kazi gani kitaa? acha ajibane CCMHuyu mzee ni maana halisi ya liability.