Pre GE2025 Mch. Msigwa awaomba msamaha Makamanda wote waliojiunga CCM kabla yake, adai aliwakejeli kwa sababu alikuwa Kipofu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msiba wa kibao alikaa kimya sana, amemaliza matanga karudi mzigoni....comred msigwa
 
Ni lazima aongee ili jina lake libaki kwenye payroll.
 
Ajafue vyupi vya wakina mama wa CCM nasikia ndiyo kazi yake mpuuzi mkubwa
 
Du ila mambo ya siasa ni kazi ngumu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtu mwenye akili anaweza kugeuka mbumbumbu na mbumbumbu kuonekana ana akili ndani ya dakika 0 tu
 
Kamanda ni jina linalotumika na jeshi. Hivyo jina lina sifa zake. Kiongozi jeshini hawezi kujisalimisha au kununuliwa kirahisi. Lazima kiapo chake akizingatie. Hivyo tulitumie jina kwa heshima yake. Tumieni wanachama au wafuasi. Makamanda anasaliti jeshi wanaitwa washing. Period
 
Bado anaendelea na wadhfa wa mchungaji; anaendelea kuendesha ibada kanisani?
 
Tunamshukuru sana Mola huyu Msigwa kukombelewa toka kwenye utumwa wa Fikra
 
Huyu siyo mchungaji, ni MTU wa mshahara.Alipoona mbwa mwitu kawakimbia kondoo.Mbwa mwitu ha pa ni njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…