Mch. Msigwa: Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti CHADEMA, anaweza kuipa changamoto CCM

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi.

Pia, Soma:

- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

- Mch. Peter Msigwa: Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2
 
View attachment 3205229

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani mwana-CCM na kada anaitafutia CCM adui hakika umri hauna mahusiano na ujinga.
 
Mwanaccm anampigia kampeni mtu wa upinzani kwenye ngazi ya chama, haya ni maajabu[emoji848]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msigwa kapungukiwa sana
CC Amos Makala kwa hatua husika.
 
Mwanaccm anampigia kampeni mtu wa upinzani kwenye ngazi ya chama, haya ni maajabu🤔
Ukweli hauna tabia ya kujificha, popote pale unatoka bila kujali hali yoyote! Sasa ulitaka adanganye kwa kuwa tu kavaa kijani?
 
Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3205229
Pia, Soma:

- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

- Mch. Peter Msigwa: Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2
Wewe na Lisu ni wanafiki CHADEMA
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani mwana-CCM na kada anaitafutia CCM adui hakika umri hauna mahusiano na ujinga.
mawazo mbadala haimaanishi ni uadui. Magu ndiye aliyetafsiri hivyo akaiumiza sana nchi.
 
Back
Top Bottom