Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hapigi kampeni, anatoa mawazo yake binafsi.Mwanaccm anampigia kampeni mtu wa upinzani kwenye ngazi ya chama, haya ni maajabu🤔
Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3205229
Pia, Soma:
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
- Mch. Peter Msigwa: Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2
Mwanaccm anampigia kampeni mtu wa upinzani kwenye ngazi ya chama, haya ni maajabu[emoji848]
Ukweli hauna tabia ya kujificha, popote pale unatoka bila kujali hali yoyote! Sasa ulitaka adanganye kwa kuwa tu kavaa kijani?Mwanaccm anampigia kampeni mtu wa upinzani kwenye ngazi ya chama, haya ni maajabu🤔
Ambayo yanakijenga chama pinzani na chake????Hapigi kampeni, anatoa mawazo yake binafsi.
Wewe na Lisu ni wanafiki CHADEMAMbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3205229
Pia, Soma:
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
- Mch. Peter Msigwa: Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2
Kwahiyo anafurahia chama chake kupelekeshwakwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi.
huyo mzee na Lisu ni damu damu!Mwanaccm anampigia kampeni mtu wa upinzani kwenye ngazi ya chama, haya ni maajabu🤔
mawazo mbadala haimaanishi ni uadui. Magu ndiye aliyetafsiri hivyo akaiumiza sana nchi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani mwana-CCM na kada anaitafutia CCM adui hakika umri hauna mahusiano na ujinga.