PostGE2025 Mch. Msigwa, Patrick Assenga waomba radhi kwa kuondoka CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Baadhi ya waliokuwa wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) na baadaye kuhamia vyama vingine vya siasa wameomba msamaha kwa wananchi na wafuasi wa chama hicho, wakieleza kuwa wameamua kurejea ili kushiriki katika kukijenga na kuendeleza harakati za kushika dola.

wakizungumza jana, oktoba 16, 2026, katika viwanja vya manyema, mjini moshi, mkoani kilimanjaro, mchungaji peter msigwa, aliyewahi kuhamia chama cha mapinduzi (ccm) kabla ya kurejea chadema, pamoja na patrick assenga, aliyehamia chama cha ukombozi wa umma (chaumma) na baadaye kurejea chadema, wamesema wamegundua kuwa walifanya makosa kuondoka katika chama hicho.

wamesema uamuzi wao wa kurejea chadema unatokana na kutambua umuhimu wa kuungana na wanachama wengine katika kukijenga chama hicho na kuendeleza harakati zake za kisiasa. aidha, wamewaomba wananchi na wafuasi wa chama hicho kuwasamehe na kuwapokea tena ili kwa pamoja waendelee na safari ya kukijenga chama na kufikia lengo la kushika dola.

Chanzo:Jambo tv

Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Asenga ni tumbo mbele, bora hata huyo Msigwa angalau alikuwa na hasira ya kufanyiwa figisu na Mbowe ili Sugu ndio awe mwenyekiti wa kanda.

Kosa la Msigwa lilikuwa ni kumuunga mkono Lisu kuhitaji mabadiriko.
 
Baadhi ya waliokuwa wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) na baadaye kuhamia vyama vingine vya siasa wameomba msamaha kwa wananchi na wafuasi wa chama hicho, wakieleza kuwa wameamua kurejea ili kushiriki katika kukijenga na kuendeleza harakati za kushika dola.

wakizungumza jana, oktoba 16, 2026, katika viwanja vya manyema, mjini moshi, mkoani kilimanjaro, mchungaji peter msigwa, aliyewahi kuhamia chama cha mapinduzi (ccm) kabla ya kurejea chadema, pamoja na patrick assenga, aliyehamia chama cha ukombozi wa umma (chaumma) na baadaye kurejea chadema, wamesema wamegundua kuwa walifanya makosa kuondoka katika chama hicho.

wamesema uamuzi wao wa kurejea chadema unatokana na kutambua umuhimu wa kuungana na wanachama wengine katika kukijenga chama hicho na kuendeleza harakati zake za kisiasa. aidha, wamewaomba wananchi na wafuasi wa chama hicho kuwasamehe na kuwapokea tena ili kwa pamoja waendelee na safari ya kukijenga chama na kufikia lengo la kushika dola.

Chanzo:Jambo tv

ok. :pedroP:

ng'ombe waliokatwa mkia bana 🐒
 
Back
Top Bottom