Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
"Huwezi badilisha kile unachovumilia, tumekuwa tukivumilia shida zilizosababishwa na CCM, imefika wakati sasa wa kuacha kuvumilia shida na kuifanya kama sehemu ya maisha yetu, hatuna sababu ya kuvumilia shida kwa sababu mamlaka inatoka kwetu hizi na kudai mabadiliko, wananchi tuache kuvumilia hizi shida na tushirikiane kwa pamoja kulisema hili na tuhakikishe tunafikisha ujumbe kwa watawala na mwaka 2025 tuwatoe madarakani" -Msigwa
Mch. Peter Msigwa amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV.
Mch. Peter Msigwa amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV.