Huyu ndo bure kabisa, alipopatukana rais wa kweli enzi zile kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na utendaji haka kajamaa kakaendelea kumsagia kunguni."Huwezi badilisha kile unachovumilia, tumekuwa tukivumilia shida zilizosababishwa na CCM, imefika wakati sasa wa kuacha kuvumilia shida na kuifanya kama sehemu ya maisha yetu, hatuna sababu ya kuvumilia shida kwa sababu mamlaka inatoka kwetu hizi na kudai mabadiliko, wananchi tuache kuvumilia hizi shida na tushirikiane kwa pamoja kulisema hili na tuhakikishe tunafikisha ujumbe kwa watawala na mwaka 2025 tuwatoe madarakani" -Msigwa
Mch. Peter Msigwa amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV leo
Mageuzi yepi ya kiuchumi aliyoyafanya?Hebu orodhesha tuone nani ni bure na kunguni-kunuka kati yako wewe na Msigwa.Huyu ndo bure kabisa, alipopatukana rais wa kweli enzi zile kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na utendaji haka kajamaa kakaendelea kumsagia kunguni.
Kapuuzwe.
Shida sijui siasa, ila nikuombe kaaa na mapenzi yako na vyama vyako nchi iendelee kusota.Mageuzi yepi ya kiuchumi aliyoyafanya?Hebu orodhesha tuone nani ni bure na kunguni-kunuka kati yako wewe na Msigwa.
Kueleza kitu ukijuacho ni siasa?Hopeless!Shida sijui siasa, ila nikuombe kaaa na mapenzi yako na vyama vyako nchi iendelee kusota.
Kipumbavu sana!! Wamepewa uhuru wa kuandamana ndo wamepotea kabisa!!Huyu ndo bure kabisa, alipopatukana rais wa kweli enzi zile kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na utendaji haka kajamaa kakaendelea kumsagia kunguni.
Kapuuzwe.
Ulitaka wafanye nini wakati mamlaka inatoka kwa wananchi?Kipumbavu sana!! Wamepewa uhuru wa kuandamana ndo wamepotea kabisa!!
Mwamba alifanya kazi kubwa na alipowabana ndo wao wakapata umaarufu!! Sasa Kila kitu kimepaa na maisha ni magumu lakini hatuoni hao upinzani wamefanya nini.
Nadiriki kusema Samia na kundi la Mbowe ndo wameifikisha nchi pabaya mno
Mlishaambiwa muende Burundi, hakusikia?"Huwezi badilisha kile unachovumilia, tumekuwa tukivumilia shida zilizosababishwa na CCM, imefika wakati sasa wa kuacha kuvumilia shida na kuifanya kama sehemu ya maisha yetu, hatuna sababu ya kuvumilia shida kwa sababu mamlaka inatoka kwetu hizi na kudai mabadiliko, wananchi tuache kuvumilia hizi shida na tushirikiane kwa pamoja kulisema hili na tuhakikishe tunafikisha ujumbe kwa watawala na mwaka 2025 tuwatoe madarakani" -Msigwa
Mch. Peter Msigwa amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV.
Kimenuka wapi ?Kimenuka !
akiacha kubeti ataaminika zaid 🐒"Huwezi badilisha kile unachovumilia, tumekuwa tukivumilia shida zilizosababishwa na CCM, imefika wakati sasa wa kuacha kuvumilia shida na kuifanya kama sehemu ya maisha yetu, hatuna sababu ya kuvumilia shida kwa sababu mamlaka inatoka kwetu hizi na kudai mabadiliko, wananchi tuache kuvumilia hizi shida na tushirikiane kwa pamoja kulisema hili na tuhakikishe tunafikisha ujumbe kwa watawala na mwaka 2025 tuwatoe madarakani" -Msigwa
Mch. Peter Msigwa amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV.
Atutolee ujinga wake hapa"Huwezi badilisha kile unachovumilia, tumekuwa tukivumilia shida zilizosababishwa na CCM, imefika wakati sasa wa kuacha kuvumilia shida na kuifanya kama sehemu ya maisha yetu, hatuna sababu ya kuvumilia shida kwa sababu mamlaka inatoka kwetu hizi na kudai mabadiliko, wananchi tuache kuvumilia hizi shida na tushirikiane kwa pamoja kulisema hili na tuhakikishe tunafikisha ujumbe kwa watawala na mwaka 2025 tuwatoe madarakani" -Msigwa
Mch. Peter Msigwa amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV.
Jamaa anajifanya anauelewa mkubwa kumbe bure kabisa kanajifanya kana msimamo kumbe hakuna kitu kipindi kamepekekwa gereza la segerea kalikataa kutoka kumbe ndani ya CCM ambayo ilikuwa inahujumu serikali ikakaambia kasitoke na kenyewe ka ka kataa kutoka kapuuzi makubwa kajamaa hakoHuyu ndo bure kabisa, alipopatukana rais wa kweli enzi zile kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na utendaji haka kajamaa kakaendelea kumsagia kunguni.
Kapuuzwe.
Watatopewaje wakati kila kitu wameshikilia wao? Kuanzia tume ya uchaguzi mpk vyombo vya ulinzi na usalama.na mwaka 2025 tuwatoe madarakani" -Msigwa
Mageuzi yepi ya kiuchumi aliyoyafanya?Hebu orodhesha tuone nani ni bure na kunguni-kunuka kati yako wewe na Msigwa.