OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My Take
Mhimili unapogeuka kuwa dalali wa ubunge basi hatuna bunge, tuna mkusanyiko wa watu wanaounda kitu kinachofanana na bunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna waliokatazwa kusema mkuu?Jambo kama hili wenzio hawasemi. Shauri yako
Chadema mkiacha makonyagi , mtakuwa na akiliView attachment 1772380
My Take
Mhimili unapogeuka kuwa dalali wa ubunge basi hatuna bunge,tuna mkusanyiko wa watu wanaounda kitu kinachofanana na bunge
Mtetezi wa watesi hayupo tena.Acha watu wafungukeJambo kama hili wenzio hawasemi. Shauri yako
Atekwe?Sasa mbona hakusema zamani wakti mwendazake yungali hai
Nataman Mnyika nae aje aseme alivyokua anasumbuliwaView attachment 1772380
My Take
Mhimili unapogeuka kuwa dalali wa ubunge basi hatuna bunge,tuna mkusanyiko wa watu wanaounda kitu kinachofanana na bunge
Ulitaka apigwe risasi kama Tundu Lissu?Sasa mbona hakusema zamani wakti mwendazake yungali hai
Nakumbuka mwendazake alimlipia faini na kutuma gari za Ikulu zikampokee Segerea lakini akawatolea nje kinoma nomaOf course kati ya watu walio sumbuliwa na Magufuli ukitoa Mbowe Lissu Lema basi ni Msigwa.
Kama mtu huyu hakununuliwa kipindi cha Magufuli basi ni pure opposition.
Ila tunaweka akiba ya maneno.
Mbona anayasema Leo ???View attachment 1772380
My Take
Mhimili unapogeuka kuwa dalali wa ubunge basi hatuna bunge,tuna mkusanyiko wa watu wanaounda kitu kinachofanana na bunge