hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,311
si vigumu kuamini kwa kuwa unajua yaliyofanyika hata kuwaingiza kwa lazima wabunge hewa wa chadema licha ya kufukuzwa uanachama na wanakula pesa za walipa kodi bure kwa ndimi mbili ninaimani kwa asilimia 100Japokuwa Ndugai ana mapungufu makubwa lakini kwa hili nachelea kuliamini..kwa kuwa huyu aliyelitamka aliwahi kukiri kuwa aliwahi kuwazushia watu tuhuma za uongo ili kujiinua kisiasa.......sasa tutaamini vipi kama na hili ni miongoni mwa zile tuhuma za uongo.....??