Mch. Peter Msigwa: Spika Ndugai alinishawishi nihamie CCM akidai ametumwa na Rais Magufuli

Japokuwa Ndugai ana mapungufu makubwa lakini kwa hili nachelea kuliamini.

Kwa kuwa huyu aliyelitamka aliwahi kukiri kuwa aliwahi kuwazushia watu tuhuma za uongo ili kujiinua kisiasa.

Sasa tutaamini vipi kama na hili ni miongoni mwa zile tuhuma za uongo.....??
 
Of course kati ya watu walio sumbuliwa na Magufuli ukitoa Mbowe Lissu Lema basi ni Msigwa.

Kama mtu huyu hakununuliwa kipindi cha Magufuli basi ni pure opposition.

Ila tunaweka akiba ya maneno.
Nakumbuka mwendazake alimlipia faini na kutuma gari za Ikulu zikampokee Segerea lakini akawatolea nje kinoma noma
 
CCM ilishakufaga na Nyerere , hawa akina hayati na maiti zinaotembea kule bungeni ni sehemu tu ya msiba kwa Tanganyika.
Chama kinachotumia Polisi na Jeshi ili kushinda hata uchaguzi wa mtaa, hakiwezi kuwa chama.
 
huyu anaenda kuwa spika wa hovyo atakaeingia katika vitabu vya kumbukumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…