Mch. Peter Msigwa: Spika Ndugai alinishawishi nihamie CCM akidai ametumwa na Rais Magufuli

si vigumu kuamini kwa kuwa unajua yaliyofanyika hata kuwaingiza kwa lazima wabunge hewa wa chadema licha ya kufukuzwa uanachama na wanakula pesa za walipa kodi bure kwa ndimi mbili ninaimani kwa asilimia 100
 
Of course kati ya watu walio sumbuliwa na Magufuli ukitoa Mbowe Lissu Lema basi ni Msigwa.

Kama mtu huyu hakununuliwa kipindi cha Magufuli basi ni pure opposition.

Ila tunaweka akiba ya maneno.
Msigwa alisumbuliwa vipi??
 
Tutamuamini vipi?kama hakuna ushahidi ni mchungaji mwongo wa duniani na mbinguni.
 
Sasa huyu msigwa ni mbuge gani asiyejua tofauti ya nihamie na niamie
 
Mchungaji sasa kaamua kuuacha uchungaji sasa!!
Alikuwa wapi kusema haya kipindi hicho?

Msigwa muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…